JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Kuna mmoja darasani kwetu nilikia nikienda prep namkuta na namuacha. Asubuhi nikienda drasani namkuta. Form six akazungusha zero. Alikua anapenda elimu maskini ila elimu haikumpenda
Hao wengi, hata huyo jamaa alipata 4, na alikuwa anakesha prep.
 
Kuna mmoja darasani kwetu nilikia nikienda prep namkuta na namuacha. Asubuhi nikienda drasani namkuta. Form six akazungusha zero. Alikua anapenda elimu maskini ila elimu haikumpenda
Akumbukwe mzigua 90, the smart & cute girl.
2009-2011.

Hii chata yako bado ipo mkuu..?
 
Kwa kweli, kuna walimu wengine hawachangamshi darasa ki hivyo!
Mwalimu wetu wa Biology alikuwa anaongea kama anasinzia, na vipindi vyake vya mchana. Hivyo kusinzia ni given hapo ushashiba chai mihogo. Ili usisinzie inabidi uandike maneno anayochapia maana alikuwa anachapia balaa. Akiondoka tunayaandika ubaoni.

Mtu angeniambia ningekuja kuwa mwalimu sikubali aisee.
 
Kuna mmoja darasani kwetu nilikia nikienda prep namkuta na namuacha. Asubuhi nikienda drasani namkuta. Form six akazungusha zero. Alikua anapenda elimu maskini ila elimu haikumpenda
Msuli tembo matokeo sisimizi.
 
Tukutane uwanja wa basketball
Darasani pazuri zaidi pako kimya!.. unajua me na kelele tusivyowezana!. Halafu wakuda wengi tusumbuane kyitana ovyoo!.. Unajua nna Queen Album ya Nick M utaipenda nakwambia!..
 
tungechoma moto shule halafu tunahamia fb kule hata washindane vipi ila hawashindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki mume tu ninae.
 
Mnakumbuka sakata la samaki wa Magufuli, mwishoni ilibidi wagawe mashuleni hasa ya mkoa wa Dar na pwani. Tuliletewa shuleni kwetu baada ya kula tulihara shule nzima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlikula vibudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…