Cowman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 1,715
- 3,158
Mkuu ilibid tupewe likizo ya siku mbili kurecovery, ulikuwa ukibahatika kuingia chooni hotoki ng'o. Watu walijisaidia kila sehemu.Haahhahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ilibid tupewe likizo ya siku mbili kurecovery, ulikuwa ukibahatika kuingia chooni hotoki ng'o. Watu walijisaidia kila sehemu.Haahhahahah
@mo11 asingekuacha salama.Wewe hapo
Hana madhara@mo11 asingekuacha salama.
aaaahh sana tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki mume tu ninae.
Anayo makubwa tu.Hana madhara
Nitapambana nae
Haumuwezi.Nitapambana nae
Wewe wasemaHaumuwezi.
@mo11 sio wa mchezo mchezo eti, anaweza kunifukuzisha shule.Wewe wasema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ilibid tupewe likizo ya siku mbili kurecovery, ulikuwa ukibahatika kuingia chooni hotoki ng'o. Watu walijisaidia kila sehemu.
Nitakusomesha@mo11 sio wa mchezo mchezo eti, anaweza kunifukuzisha shule.
Sidanganyikiiiii.Nitakusomesha
Sawa mwanafunziSidanganyikiiiii.
Hahaha, mpaka maticha waliupata huu msemo, maana kuna siku ticha anafundisha economics kuna mtu akawa anasinzia, ticha kutwambia tumwamshe tukamjibu eti ana-think.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona ku-think
[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii Kali hiiDah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.
Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.
Hahaaa kwa mineno yake mie kuniambia eti alikua mtundu nagomaa kabisaa huyu ni mama mchungaji kabisaaNilikuwa sijakuona kabla ya kupitia pages...
Eti nikaku picture unavyo tupa maneno ya busara baada ya prep ya saa moja na nusu usiku kule shuleni...lol
Hehehe bina unanifurahisha, kwani ukiwa mtundu ndo huwezi kuandika mineno kama yote?Hahaaa kwa mineno yake mie kuniambia eti alikua mtundu nagomaa kabisaa huyu ni mama mchungaji kabisaa