JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Mnakumbuka sakata la samaki wa Magufuli, mwishoni ilibidi wagawe mashuleni hasa ya mkoa wa Dar na pwani. Tuliletewa shuleni kwetu baada ya kula tulihara shule nzima.
Wale samaki mimi sasa nilikua naanza nao kwa wapishi. Halafu rafiki yangu alikua food leader sasa alikua anakuja nao bwenini. Ilifikia point nikisikia harufu ya wale samaki natapika. Mkoa wa Pwani tuliwafaidi sana wale samaki
 
Mi nlikuaga naongeaga tu na wachumba zangu wa Kibaha Boys na beb wangu mtu maarufu fulani hivii... sema shule yetu tulikua tunaishi kama chuo yani...
Hahaaa!no inspection sie tulikua tunaita Open university!! Shule kama hizooo
 
Mwalimu wetu wa Biology alikuwa anaongea kama anasinzia, na vipindi vyake vya mchana. Hivyo kusinzia ni given hapo ushashiba chai mihogo. Ili usisinzie inabidi uandike maneno anayochapia maana alikuwa anachapia balaa. Akiondoka tunayaandika ubaoni.

Mtu angeniambia ningekuja kuwa mwalimu sikubali aisee.


Hahaha!, aiseeh! 😀

Ndo dunia lakini..
 
Basi marafiki zako walikua staki shule..
Hapana, sasa rafiki zangu wao wote walikuwa wanaonekana wapole, afu me ndo katukutu. We all liked school. I guess personality yangu ipo controversial kidogo, kwa sababu hata hao marafiki zangu, before walikuwa na perceptions tofauti kabisa juu yangu. Baada ya kuwa friends ndo wakawa wananiambia "yani nilikuwa nakuona blah blah".
 
Back
Top Bottom