JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Hapana, sasa rafiki zangu wao wote walikuwa wanaonekana wapole, afu me ndo katukutu. We all liked school. I guess personality yangu ipo controversial kidogo, kwa sababu hata hao marafiki zangu, before walikuwa na perception tofauti kabisa juu yangu. Baada ya kuwa friends ndo wakawa wananiambia "yani nilikuwa nakuona blah blah".
Mimi naonekenaga serious ile ya siingiliki ila mtu akinijua ananiona chiziii
 
Eeehh me mwenyewe huwa siingiliki kirahisi. Cha kushangaza kama hatujazoeana; nina aibu ambayo hata sielewi ilitokea wapi. Kucover aibu yangu, najifanyaga nipo serious kidogo, afu watu wanaishia kuniona nina mashauzi. Ila walonizoea wanajua nilivyo mwehu na wanashangaaga hiyo aibu naikodishaga wapi, maana haiendani na mimi kabisa

Ukiwa serious unaficha maujinga mengi sana bila watu kujua..
 
Kiukweli najijua niko hivyo na sipendi watu kuniogopa ila ndo washaamua kuniona hivyo kisa sinaga mazoea
Mimi siku ile Governors niliamua kuwa mtata tu, nikasema hapa nakuwa straight.

Maana ulikuwa na sura ya kiserious balaa, nikajua nikiianza ooh ilikuwa hivi, sijui hivi ntazingua.

Nikajifanya tu kama nakufahamu muda, hahaha.
 
Utakua na sura ya utukutu lazima. Mi naonekanaga serious ila nahisi hamna mtu mjinga kama mimi nikiwa na watu ninaowaamini...
Ila hakuna kitu kinakera kama kwenda darasani asubuhi huwa kuna baridi jamani ,sisi kulikuwa na upepo ,mi mtu akiniambia nirudi sec.sirudi aisee
 
Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.

Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom