Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiEnzi nikiwa nasoma , mabweni yote yalikuwa yananiita DADA yaani. Nilikuwa nachamba, nasuta acha kabisa. Ukija kushtakiwa kwangu huna bahati.
Cha ajabu siku hizi nimekuwa mpole sana.
hahaa kweli aisee " ubavu wa kutoboa hanantakutana nako diploma, kwa akili ya kawaida kabisa mtoto mzuri kama huyu atatoboa Necta!?.. Hawa wa kuanza Diploma hakajajua tu!!..
Gudume wale watu wa makuzi kibaooKwenye hii safu GuDume umemweka kipengele gan?
Hahahah hakika hili nyonyoaahh mwanamke mbovu na ghorofa zuri sawa na tindi la Demiss kwenye kivtz!..
(hata sijui nilichomaanisha😉)
Unanitafutia ugomvi eeeh!!??..Kakija kanajua furaa hako!.hahaa kweli aisee " ubavu wa kutoboa hana
Hebu amkia wakubwa zako alaa!!Hahahaaaa!! We mke wa Mo11 miye mbig wewee!!!
Upole kwakweli mwanangu hauna kabisaaa, ni vile watu hawakuelewi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]I was a good student, so kupendwa kulikuwepo sana tu. Ila honestly upole unaouwaza wewe binamu, me sina kabisa. Ila pia sio mtata kama watu wanavyoassume
I see meeeee[emoji8] [emoji8]Hapana, sasa rafiki zangu wao wote walikuwa wanaonekana wapole, afu me ndo katukutu. We all liked school. I guess personality yangu ipo controversial kidogo, kwa sababu hata hao marafiki zangu, before walikuwa na perceptions tofauti kabisa juu yangu. Baada ya kuwa friends ndo wakawa wananiambia "yani nilikuwa nakuona blah blah".
[emoji87][emoji87][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeasahau mshana Jr angekua anatukaba usiku wenziwe maana tunamhisi ni mchawi kwa mambo yake[emoji3][emoji16][emoji16]
@daby unajifanya huu uzi haujauona?Daby angekuwa wale machakaramu wanaohisiwa kukula kila binti kumbe anakula kwa macho tu akitoka hapo anajifunika shuka na nzi wake[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndiyo nauona... umesemaje huko nyuma?