Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ila mimi nahisi siyo chizi sana kama wewe.Hahahahaaaa....nilikuona chizi mwenzangu
Hahaha, eti chizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mimi nahisi siyo chizi sana kama wewe.Hahahahaaaa....nilikuona chizi mwenzangu
Haiwezekani uwe umenizidi wewe.Ila mimi nahisi siyo chizi sana kama wewe.
Hahaha, eti chizi.
Mimi naonekenaga serious ile ya siingiliki ila mtu akinijua ananiona chiziiiHapana, sasa rafiki zangu wao wote walikuwa wanaonekana wapole, afu me ndo katukutu. We all liked school. I guess personality yangu ipo controversial kidogo, kwa sababu hata hao marafiki zangu, before walikuwa na perception tofauti kabisa juu yangu. Baada ya kuwa friends ndo wakawa wananiambia "yani nilikuwa nakuona blah blah".
Mwaka wa kina Julian Sillo?Chama langu wazee wa "kudoji", mwendo wa kukutana kwenye paper tu. Weekend yote ni " Lamote club". Karatu Boys High School.
Mimi naonekenaga serious ile ya siingiliki ila mtu akinijua ananiona chiziii
Mwaka ule headmaster mpya anagomewa anaambiwa " hakutukati wewe tunamtaka Mr yes"Mwaka wa kina Julian Sillo?
Ukiwa serious unaficha maujinga mengi sana bila watu kujua..Eeehh me mwenyewe huwa siingiliki kirahisi. Cha kushangaza kama hatujazoeana; nina aibu ambayo hata sielewi ilitokea wapi. Kucover aibu yangu, najifanyaga nipo serious kidogo, afu watu wanaishia kuniona nina mashauzi. Ila walonizoea wanajua nilivyo mwehu na wanashangaaga hiyo aibu naikodishaga wapi, maana haiendani na mimi kabisa
Ila una swagger moja hivi mtu kama hakufahamu hasogei.Ukiwa serious unaficha maujinga mengi sana bila watu kujua..
Hhahhhaaaaa.. ipi hiyo??Ila una swagger moja hivi mtu kama hakufahamu hasogei.
Nakuangaliaga tu.
Kabisaaa. Mtu akija dk 2 mmeclick, anaanza kushangaa userious wako ulipoendaUkiwa serious unaficha maujinga mengi sana bila watu kujua..
Kuna ile uko serious yaani mtu anajiuliza naanzaje hapa.Hhahhhaaaaa.. ipi hiyo??
Kiukweli najijua niko hivyo na sipendi watu kuniogopa ila ndo washaamua kuniona hivyo kisa sinaga mazoeaKuna ile uko serious yaani mtu anajiuliza naanzaje hapa.
Hata kusalimia anaweza kuogopa.
Mimi siku ile Governors niliamua kuwa mtata tu, nikasema hapa nakuwa straight.Kiukweli najijua niko hivyo na sipendi watu kuniogopa ila ndo washaamua kuniona hivyo kisa sinaga mazoea
HahahhahaaaaMimi siku ile Governors niliamua kuwa mtata tu, nikasema hapa nakuwa straight.
Maana ulikuwa na sura ya kiserious balaa, nikajua nikiianza ooh ilikuwa hivi, sijui hivi ntazingua.
Nikajifanya tu kama nakufahamu muda, hahaha.
Ila hakuna kitu kinakera kama kwenda darasani asubuhi huwa kuna baridi jamani ,sisi kulikuwa na upepo ,mi mtu akiniambia nirudi sec.sirudi aiseeUtakua na sura ya utukutu lazima. Mi naonekanaga serious ila nahisi hamna mtu mjinga kama mimi nikiwa na watu ninaowaamini...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaona watu/vinara wakupiga double share(addition) ya chakula kuanzia uji, wali, ugali na makande.
Hapa usingenikosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]