Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.
Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali sana mkuu...kama nawaona vile mnavyokufa na mbavu mnapomuona akizuga kufungua page ya mbele hahahaaaaaaaaaaaaaa...hii thread inafurahisha kwa kweli