JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.

Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali sana mkuu...kama nawaona vile mnavyokufa na mbavu mnapomuona akizuga kufungua page ya mbele hahahaaaaaaaaaaaaaa...hii thread inafurahisha kwa kweli
 
Umenikumbusha dada mmoja, jamani alikuwa analala. Hata sijui alikuwa na tatizo gani.
Yaani yeye usiku ni kulala mapema. Halafu mkifika darasani napo, tulikuwa tunampa 15 minutes za mwanzo.
Baada ya hapo muda wote ni kusinzia darasani kwa kwenda mbele mpaka darasa linaisha. Mpaka tukamtunga jina the sleepy girl.
Kuna wengine wana ugonjwa wa usingizi pia kuna masomo ticha akija fundisha automatic unalala [emoji23][emoji23]
 
Hivi hii ilikuwa kila shule eeeh!! Disco unaenda ila unakua tu kifuatacho itv ni kuwekwa kikao na kuombewa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nawasikilizaaaa kesho mapema wa kwanza kuazima vinguo niurambeee!!habari sipati!analia kabisaa amirat Mimi habari sipati
 
Kuna wale watoto wa baba kuja na V8 anapack bwenini. Hapa kuna rafiki yangu anaitwa Ojare, rafiki yangu Rejao anamfahamu
Halafu kuna wale wapenda usingizi, hata siku ya Mtihani wanachelewa
[emoji3][emoji16][emoji16]wakishua mmoja nyie mnarudi ma treni mwanza tu dar mwenzenu anapanda ndegeeebwe Judy weeee looh!
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali sana mkuu...kama nawaona vile mnavyokufa na mbavu mnapomuona akizuga kufungua page ya mbele hahahaaaaaaaaaaaaaa...hii thread inafurahisha kwa kweli
Ilikuwa mkishafunua page mnakaa mbali halafu anajifanya kukohoa au kubamiza mlango, akishtuka anafunua page ya mbele, hapo ni kicheko mpaka prep inaharibika.

Kuna siku mnabadili hadi anachokisoma, akiamka anaendeleza.

Baadae aligundua mbinu, ikawa akishtuka anatulia baadae mnaona anabadili kitabu.
 
hahaaa naona uli enjoy sana wakati unasoma,mie huku kicheko kama namuona vile lol
 
Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.

Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.
Kuna mmoja darasani kwetu nilikia nikienda prep namkuta na namuacha. Asubuhi nikienda drasani namkuta. Form six akazungusha zero. Alikua anapenda elimu maskini ila elimu haikumpenda
 
Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.

Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna dada nae alikuwa bingwa wa kusinzia prep, alafu mzugaji kama hasinzii vile. Alikuwa arts na hasomi physics, siku hiyo anasoma Kiswahili tukaliondoa tukamuwekea la Physics, kustuka akaendelea kusoma kama kawaida. Haki tulicheka mpaka basi.
 
Ilikuwa mkishafunua page mnakaa mbali halafu anajifanya kukohoa au kubamiza mlango, akishtuka anafunua page ya mbele, hapo ni kicheko mpaka prep inaharibika.

Kuna siku mnabadili hadi anachokisoma, akiamka anaendeleza.

Baadae aligundua mbinu, ikawa akishtuka anatulia baadae mnaona anabadili kitabu.

Uwiii!, jamani Don. Haki nimecheka humu ndani!

Kama namuona anafungua page ya mbele halafu anaendelea taratibu! 😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna dada nae alikuwa bingwa wa kusinzia prep, alafu mzugaji kama hasinzii vile. Alikuwa arts na hasomi physics, siku hiyo anasoma Kiswahili tukaliondoa tukamuwekea la Physics, kustuka akaendelea kusoma kama kawaida. Haki tulicheka mpaka basi.

hahaa mbavu sina..
 
😀😀😀😀😀
 
hahaaa naona uli enjoy sana wakati unasoma,mie huku kicheko kama namuona vile lol
Mimi nilikuwa mtundu sana school, ila siyo mgomvi kabisa, kwa hiyo hizi za kuchokoza watu ilikuwa kawaida sana.

PCB walikuwa wasongo sana, kuna muda nilikuwa nachungulia darasani wote wako kimyaa, unaingia kama vile kuna kitu umefata, kwenye kutoka unapiga piga kandambili kwa fujo kuharibu mood yao.

Wakishtuka umeshafungua mlango unaondoka zako.
 
Back
Top Bottom