JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

JF ingekuwa BOARDING SCHOOL Mambo yangekuwa hivi!!

Mkuu ilibid tupewe likizo ya siku mbili kurecovery, ulikuwa ukibahatika kuingia chooni hotoki ng'o. Watu walijisaidia kila sehemu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona ku-think
Hahaha, mpaka maticha waliupata huu msemo, maana kuna siku ticha anafundisha economics kuna mtu akawa anasinzia, ticha kutwambia tumwamshe tukamjibu eti ana-think.

Ticha alicheka mpaka basi.
 
Mmbea wa hiyo skuli angekua ni warumi anasupply umbea o level mpaka advance.. Sisi wengine tungekua ndo wale hamjui kama tunasomaga wote darasa moja ila tunakutanaga kwenye pepa tuu
 
Dah kwenye kulala kuna jamaa nilikuwa mkienda prep dakika kumi tu amesinzia, tukimwambia anabisha, anasema alikuwa ana think. Ikawa tunafunua page kama kumi kwenye anachosoma, akishtuka anazuga kuendelea page ya mbele kama vile amemaliza hii.

Siku moja mimi na jamaa hivi tulimzungushia viti na meza, vingine tunavipanga kwa juu hivi kumzunguka, tukazima Umeme tukaondoka. Mpaka tunamaliza term hakuwahi kusomea kile chumba wala kutuuliza.
[emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii Kali hii
 
Back
Top Bottom