JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Ukurasa wa mbele ungesomeka "Hatimae yule binti aliyekuwa akifahamika kwa jina la felister A.K.A muuza na mchoma nyama katika viunga vya dodoma abadili jina na kujiita Depal kuepuka kasumba mbalimbali baada ya unaosemekana kuwa mguu wake kuonekana ukitrend katika kijiji cha JF baada ya kuvutwa na kukuzwa kwa msaada wa VAR na mmoja wa mabaharia wa JF"

Ni utani tu bebe Depal nakukubali sana 🙂 🙂 🙂

Kumbe kabadili jina
 
Hili swali hawezi kukujibu hadharani,mfate sirini atakujibu.

Huwa sitaki mchezo linapokuja suala hili,hakika mtanange ulikuwa mzito sana,lakini mwisho wa siku walikata ngebe zao. Ninastahili pongezi za dhati mno.
😂😂🏃
 
Sasa sio sirii Mzigua90 ni dume lililojivika uanamke.

Hatimaye MOTHER confesser asema kilichomfanya abadili ID

Trend ya ID mpya yathibitika ni kutokana na member wengi kuogopa kuwekwa picha zao hadharani

manengelo apotea katika mazingira ya kutatanisha. Polisii wanaendelea na uchunguzi kumjua member aliesababisha Manengelo kupotea.

Jifunze mbinu za kukwepa ban. Uk 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siri sio siri tena

Hatimaye ile new ID inayopita katika PM za wadada na kuwadodorishia 1M mods waiweka hadharani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Ni ipi jamani
 
Back
Top Bottom