Hili swali hawezi kukujibu hadharani,mfate sirini atakujibu.😂😂😂 Saint anne Marianah ya kweli haya ndugu
Huwa sitaki mchezo linapokuja suala hili,hakika mtanange ulikuwa mzito sana,lakini mwisho wa siku walikata ngebe zao. Ninastahili pongezi za dhati mno.