JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Hivi mkuu hii ya 7800 mbn imenipita ilikuwaje?
Haaha.

Kuna mdada wa humu alileta uzi wa kulalamika nwanaume wa humu amemtoa mwanza hadi Dar..kisha wakati wa kurudi Dar akamwachia 7800 mezani na kumtoroka asubuhi..

Pitia hizi nyuzi mbili utaelewa.

Hahahaha, ama kweli JF ina mambo na nnapitwa na mengi. Ahsante nimesoma na nimeelewa.
Haaha.

Kuna mdada wa humu alileta uzi wa kulalamika nwanaume wa humu amemtoa mwanza hadi Dar..kisha wakati wa kurudi Dar akamwachia 7800 mezani na kumtoroka asubuhi..

Pitia hizi nyuzi mbili utaelewa.

Kabisa, hadi nimejuta kuwa mbali na JF, nimeona tena kuna mambo ya yeboyebo.... sijui Dodoma nimebaki kuduwaa sijui kimetokea nini.
Hahaha.. yanachekesha saana.
 
kwenye vichwa vya habari za kisiasa ndo kusingekalika kabisa!!! ungesikia “.... kapepetwa”

kule kwenye intelligents ndo usiseme.... vichwa vya habari vingekuwa vya kimauzauza..
 
BREAKING NEWS
Baadhi ya vichwa vya habari

.yeboyebo zazua balaha
.Je ni uzalendo kuvaa sweta liloandikwa Tanzania
.Aachiwa 7800 gesti baada ya kujilikana ni mganga anaeenda kabidhiwa mikoba
.Danga maarufu jamiiforums lapotea katika mazingira ya kutatanisha
 
Haaha.

Kuna mdada wa humu alileta uzi wa kulalamika nwanaume wa humu amemtoa mwanza hadi Dar..kisha wakati wa kurudi Dar akamwachia 7800 mezani na kumtoroka asubuhi..

Pitia hizi nyuzi mbili utaelewa.

Daby achukua tuzo ya uhadithiaji Bora wa matukio
 
Kabisa, hadi nimejuta kuwa mbali na JF, nimeona tena kuna mambo ya yeboyebo.... sijui Dodoma nimebaki kuduwaa sijui kimetokea nini.
Hahaha...huyo wa yeboyebo ni mdada alirusha picha wakazoom wakakuta amevaa yebo yebo.
 
Back
Top Bottom