Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Hivi mkuu hii ya 7800 mbn imenipita ilikuwaje?
Hahaha.
Atorokwa kwa alarm alfajiri chumba cha kulala wageni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.
Atorokwa kwa alarm alfajiri chumba cha kulala wageni.
Hivi nkishakuambia kuwa nakupenda?😳🙆♀️🏃♀️🏃♀️😭
Haaha.Hivi mkuu hii ya 7800 mbn imenipita ilikuwaje?
Haaha.
Kuna mdada wa humu alileta uzi wa kulalamika nwanaume wa humu amemtoa mwanza hadi Dar..kisha wakati wa kurudi Dar akamwachia 7800 mezani na kumtoroka asubuhi..
Pitia hizi nyuzi mbili utaelewa.
Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia...www.jamiiforums.com
Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari. WADAU. Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka...www.jamiiforums.com
Hahaha.. yanachekesha saana.
Daby achukua tuzo ya uhadithiaji Bora wa matukioHaaha.

Hahahahahah utaniua ..my ribs
Kuna watu mnavipaji shigongo apitie huu uzi nimecheka mno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣