Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana. Ameliunganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa mengine, na kwakweli
dhamira na nia yake njema viko wazi kwa waTanzania na dunia nzima.
Mipango mikakati yake makini na madhubuti ya amani na usalama kwa maslahi ya waTanzania wote, nayo inaonekana wazi pia.
Ni wazi mama anaaminika na anakubalika kila kona ya nchi bila kificho, wewe ni nani hata ushupaze shingo kukaidi hilo?. Labda uwe na chuki binafsi tu ndiyo unaweza usikubaliane na ukweli huo. Lakini kwa ujumla atakaetuvusha salama kama taifa mpaka 2030, ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.
Msingi wa amani, utulivu, umoja, ulinzi na usalama wa watu, makazi na mali za watu na taifa letu ni uwekezaji wa kutosha wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika ulinzi wa mipaka yetu.
waTanzania na wazalendo jasiri wote wako upande wa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
Mungu Ibariki Tanzania