Pre GE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

 
Ni sawa na kuwahimiza Watanganyika wamchague Gachagua aje kuwa Rais wa Tanganyika.
unazungumzia mutu ya murima?

anajulikana Nyeri tu halafu anataka kubabaisha watu,

shukran sana kwa wadau wa JF ambao tayari tupo pamoja nyuma ya mwenekiti wa CCM Taifa Dr Samia Suluhu Hassan, huo ni uzalendo wa kiwango cha juu sana ๐Ÿ’
 
ng'ang'ana na ushirikina wako wa ubaguzi wa dini na kijinsia huko gentleman,

nafurahi wazalendo wote wa JF tunasonga mbele pamoja na Dr.Samia Suluhu Hassan ๐Ÿ’
2025 Rais Mwanaume Mkristu Mkatoliki ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.

Picha maktaba: mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan.


Huenda rais aliye madarakani mheshimiwa Dr. Samia Hassan akapata upinzani mkali ikiwa mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe atapitishwa na CHADEMA kuwa mgombea

Picha maktaba : Freeman Aikaeli Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA
 
๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ kiki Heche leo ndiyo maneno ya mjini Mama๐Ÿฅท
 
UMELEWA HASA MUDA ULIOKUWA UNAFIKIRIA KUANDIKA HAYA?
 
Takataka
 
๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ kiki Heche leo ndiyo maneno ya mjini Mama๐Ÿฅท
ila jamaa yuko adicted sana na kubeti,
bila ya hiyo kitu alikua kijana mzuri tu gentleman,

hata hivyo,
ile ya maana zaidi ni wadau wa JF kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct.2025, nimefurahi sana
 
Tuwekee wimbo wa kasongo yeye kwanza alafu ndo tuanze fikiria ombi lako,

Alafu mkuu uyo Nduguyo Lucas Mbona siku izi ameacha kububujikwa na machozi yatakua yamekauka nini ?
 
Mfumuko wa Bei

Bandari kukodiwa miaka 30

Watu Kutekwa ,kupotezwa na kuuwawa.

Ufisadi...na mengineyo

Hapati Kura yangu.
hizo ni dosari na kasoro ndogo ndogo za kawaida katika mataifa karibu yote duniani,

jambo la maana zaidi la kizalendo,
ni JF as family kuungana na Dr.Samia Suluhu Hassan come Oct.2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ