JF Karibuni Tanzania Professionals Network

Sikujua kwamba tunashindana. Nisingejihusisha.

Oni langu ni kwamba kipengele 3.1.1 na 3.1.2 cha Katiba yenu kinauawa na kipengele 3.1.3.

Unakubali?

Mkuu Kuhani, putting aside our differences in approaching and looking into issues, I really like your Energy in debating matters. If in the really world wewe ni MZALENDO na MKEREKETWA wa Maendeleo, your ENERGY could be used to bring forth development. If u ask me my opinions on what kind of leaders we really need in our country, I sometimes think we need leaders with Energy and who can stick to their guns to protect the interest of the country without necessary looking into what the procedures are.

Pamoja na kuwa umekuwa wakati mwingine ukitumia lugha kali, lakini bado nakuona kama wewe katika really world kama utakuwa na MTAZAMO wa MAENDELEO you can do Wonders. If we are talking in a Country level, I will say you can be a better PM. Of course intakubidi tu uondoe style yako ya lugha lakini keep on sticking in your guns. Things will change.

Tukirudi kwenye hoja ya msingi, swali la wewe kuleta hoja mbadala nimekuuliza kama mara 3 au 4 lakini ndiyo unaijibu sasa. Nakushauri, uwe unaangalia majibu ya hoja zako zilizopita na wewe pia kuzijibu . . .

Kwa maoni yangu issue uliyoizungumza ya kwamba kipengele 3.1.1 na 3.1.2 cha Katiba yenu kinauawa na kipengele 3.1.3 inazungumzika na nitaifikisha TPN ifanyiwe kazi. Ni vizuri pia ukajua kuwa kitu kama Katiba kabla haijapitishwa ilipitiwa na wanachama ambao pia walitoa maoni yao mbalimbali na kisha kupitiwa na wanasheria na kuboreshwa. Kama utasema ilikosewa mimi na kuwa watu wote hao hawajui kwa kweli siwezi kusema kwa uhakika lakini niko open minded. Ninachoahidi ni kuwa nitafikisha issue hii mbele ya TPN iweze kujadiliwa na kufanyiwa kazi.

Hata hivyo asante kwa critics zako zote, zinanifanya pia nikubali ni namna gani tuko binadamu tunaweza kutofautiana katika approaches na kudebate issues.

Kama kuna lolote lingine karibu tuendelee . . . LOL
 

Najaribu kupitia mjadala mzima maana nipo nyuma kidogo lakini hii ya Kuhani ni kali mno!

Mtsimbe unatakiwa kujiuzuru!!! Lol!
 
Ok bwana Msimbe, may be watu wengi hapa wanachukulia hichi chama/organization kama ni cha kisanii tu kimeundwa ili watu washibe kama NGO nyingine zinavyofanywa..may be ni too early kuanza kuki judge...swali langu ni moja tu...unakiona vipi chama/organization yako baada ya miaka kumi katika namna nzima ya kumuinua mtanzania au Uchumi wa Tanzania kwa ujumla...naomba u heat to the point..uache propaganda...tukiwa conviced tutajiunga tu kwa mafungu
 
ushauri wa bure kwa TPN,jitahidini muwe think tank,jitengenezeeni utaratibu wa kukaa na kukuna vichwa kwa lengo la kuisaidia nchi,na kwa hili si lazima mlipwe.mathalani kupanda kwa bei ya mafuta ni pasua kichwa,hebu nyie wasomi kaeni kama kundi fikirieni makakati wa kuinasua nchi na hii balaa,andaeni mapendekezo kisha tafuta utaratibu muafaka wa kufikisha maoni yenu panapohusika na bila shaka mtasikilizwa,hli la kulalamika tu kwamba bei ya mafuta inapanda world wide halitusaidii,tuangalie tax structure,exchange rate,mfumo wa usambazaji mafuta etc,tuone ni wapi we can make a saving kwa mtumiaji wa mwisho,maana dala dala mbagala/posta 600.- mmmmmhhh!
 


Mr President,

At last I have got answers to my queries above, through this email you sent to me;

From your email I can conclude as follows:

1) anybody can be member of TPN provided can pay the due fees
2) there is no quality assuarance at TPN
3) qualification of a member is not an issue provided can pay the due fees
4) TPN is interested with Quantity of members not their quality
5) Once I get 100 000/= will phone you so that you send somebody to come to pick; Though you do not know my qualification.

Ahsante Mr Pres, good luck on harvesting wadanganyika's money.

Njimba.

[COLOR="Blue"]Here is a copy of your email to me:

Dear Njimba

Welcome to TPN. I want to take this opportunity to congratulate you on your decision to join our organization!


We hope TPN will enhance your knowledge, career, and development of your profession. It will also give you the opportunity to meet with fellow professionals in a relaxed atmosphere at our monthly meetings. As an individual member you are required to pay registration fee of Tsh 100,000 or can pay 25,000 per quarter (3months) and a monthly subscription of 20,000 (240,000 annual fee of which it can be paid in 3 installments). You can deposit your payment at CRDB Bank, Lumumba Branch to Tanzania Professionals Network account no. 01J1007608900 (please notify us with proof of payment for record purposes). For your convenience, you can call us and assign you someone to come by your offices to collect the payment. Once your registration is confirmed, a membership card will be sent to you. We hope you will carry it as a display of your commitment to continued professionalism. TPN membership offers many benefits:



· a monthly newsletter with meeting information, notices of upcoming events of TPN and the news of your fellow members, and more. (members are encouraged to contribute materials they feel should be circulated among other members)

· monthly meetings featuring professionals speaking about current issues facing our country.

· regular workshops/ seminars to enhance your daily job performance.



Soon, you should begin receiving our newsletter, which also provides meeting information.



If you have any questions about TPN or your membership please call me at this number 0754 277 335. We look forward to seeing you at our next meeting.



Please find attached a copy of TPN Constitution.





Sincerely,



Laila Mohamed



On Behalf of TPN President

Sanctus Mtsimbe




Layla Mohamed
Administrator
Tanzania Professionals Network (TPN)
Pugu Road, Dar Group Building
P.O.Box 21605, Dar es Salaam
Tel: 255 754 277 335
255 713 201 204
Email: laymohd_tpn@yahoo.com
Website: www.tpn.co.tz
[/COLOR]
[/I]
 


This is a bit strange! The only thing you saw in this invitation to be a member was the "harvesting of wadangayika's money"? I have no idea about TPN, but this sort of attitude of always thinking that people cannot start any noble cause, except for money is part of the many problems befalling us. I think that if you're not convinced by their fees or their objectives, you could simply refuse their offer to join their organisation, instead of endulging in this sort of malicious display of arrogance!

I also found it rather grossly unethical, unprofessional and backwardness to display a private communication in this public forum. Tukue kidogo jamani, ah!
 

Yah ..but to let anybody enter in that society regardless of w/ther he/she is proffessional or not provided she/he has only the money to join and pay the annual subscription fee..i think inaenda tofauti hata na jina la Society yenyewe TPN...so kama na shilingi 100,000 alafu nimemaliza zangu form four nikataka kuingia kwenye hichi chama na hakika milango itakuwa wazi sababu hela ya kuingia ambayo ndio kigezo kikubwa according to iyo email..je na mimi pia nitaitwa professional sababu niko kwenye chama cha ma professional???????/

labda mtsimbe atufafanulie vizuri kuhusu vigezo vya kuwepo hapo kwenye hicho chama....ni hela yako tu au na na academic qualifications pia zinaangaliwa?? na kama vinaangaliwa ni njia zipi zitumikazo ku assess????
 

You hope?? Kwani wakufunzi ni wakina nani? Give recent examples please. Pia kama network yenyewe itajaa watu ambao si "Professional", tu wale wenye uwezo wa kulipa hiyo 100,000. Such network doesnt sound very useful...
 

Kitila,

Thank you very much for your comments, though, I do not find any wrong doing on this one.

It should be remembered that the President of TPN came here openly to invite people to join his organisation and has done everything possible to market. I think was well prepared for any outcome of his gesture.

I asked him simple questions for clarifications; instead of coming with clear answers he just said should read past threads.

Kitila, I am just a mere member of JF compared to you a Senior & Premium Member. However, I find that you are a victim of Swahili saying “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu”. Secondly, It seems I do not understand the real meaning of JF‘s slogan “Where We Dare to Talk Openly”.

From your comments I conclude as follows:

1. At JF, Government’s confidential documents such as EPA report, Richmond Contract, NHC’s report, etc can be exposed without any problem. And a person exposes them is hailed.
2. The term Mafisadi applies to Government officials and other influential figures in our society, but your fellow Mzalendo can con you and should remain silent.
3. Kitila, I quote your statement, “This is a bit strange! The only thing you saw in this invitation to be a member was the "harvesting of wadangayika's money"? Yes, Kitila, I also find strange for an organisation like Tanzania Professional Network to undermine the quality of its members just for money. Kitila, I do not know your profession and if you are member of your professional body. Tell me which professional body in the world can just offer their membership like that? What I know is that if you are a member of a certain body you represent it. In addition, there is a French proverb which states that: show me the woman you are hunting, I will tell you what type of a person you are. The way TPN is hunting its members represents itself its true colour. Pay my fees first, you become my member and I give you a membership card. The danger is that, one day Majambazi and Vibakas will be identified by TPN’s cards.
4. Concerning exposing our communication, I think this was TPN president’s call on his first message, read this extract, “Naitwa Sanctus Mtsimbe na naomba niungane na wana JF wengine waliojitambulisha kwa majina yao halisi na kutoa mwito wengine wafanye hivyo ili tuweze kuungana [/I]na kufanya mambo ya kimmsingi sasa yanayohitaji kufahamiana na kukutana”. However, I apologize if offended him.

5. Yes, Kitila, the only thing I saw on TPN’s invitation was their interest in harvesting Wadanganyika’s money.

Nawakilisha,

Njimba
 



You are right Njimba, but i thinks Mtsimbe has many things to tell us concerning his Organization..let us give him a chance to wash out all the worriers we have, and i hope one day majority members of JF will meet in the TPN Meetings as the active members of that Professional Network.

Mtsimbe please clear this.
 

Ewaaaaaaaaaaaaa Bana Kitila

I Expressed This Eeaaarly In My Post; Thanks Mkumbo For Noting The Same... Bado Naendelea Kusema, Wenye Nia Njema Na Walio Walengwa Watapata Habari.

Na Wale Tuliozoea Yetu Kila Wakati Tutaendelea Kufanya Uchunguzi/research Ili Ku-discredit.

Yaleyale... Kama Ni Udanganyika, Basi Una Maana Nyingi... Hata Ile Tu Ya Kudhani Unajua Na Kumbe Unajidanganya

Tpn Is Important And Tpn Is A Network And Not Project, Ngo, Etc.

You Can Join Network And Leave Upendavyo..
 
Njimba,

Your concerns are genuine and justifiable, especially with regard to the qualifications of membership, which I also very much share. Nevertheless, you cannot make such a bold conclusion, that they are just there to milk the poor wadanganyika, on the basis of this particular flaw in the TPN Constitution.

What really troubled me in your post is the impact of your unsubstantiated claim on the morale of people behind such genuine and noble cause as TPN. We have serious problems befalling our country and we need to encourage, not ridicule, any effort that is trying to help our people realise their potential, and it is this big picture that I decided to give TPN the benefit of doubt. If I were you, therefore, I would ask the TPN leadership to consider their membership criteria, without necessarily ridiculing them and putting mud in their initiative.

In any case, my understanding is that the TPN call for support is a voluntary one; if I dont want joining I would simply keep quite or say no quitely without trying to discourage others who maybe convinced, however flawed the organisation may appear.

Lastly, your comparision of your decision to display private communication between you and TPN and the posting of EPA and other public reports in this forum is, to say the least, utterly and unbeliavably inconsiderable and misguided. I am sure you know very well the public interestdness in the EPA report, which cannot, at any rate or level, be matched to TPN, something that is still less than an NGO! I just want to believe that you're simply joking by raising this point!

Tuendelea kuwasaidia hawa ndugu zetu TPN wasimame ili wasaidie kuchangia kiharakati nchini mwetu, sio kuwabeza!
 
Habari za leo bwana Mkumbo,
Unanifanya niwe na maswali hapa,

Njimba,

What really troubled me in your post is the impact of your unsubstantiated claim on the morale of people behind such genuine and noble cause as TPN.


Usingependa kuona Njimba anarukia kwenye conclusion. Hayo maneno hapo juu umeyasema hapa zaidi ya mara moja, na kwa kuwa sijapata uhafahamu mzuri wa madhumuni halisi ya TNP hadi sasa, kauli yako inazidi kunichanganya.



In any case, my understanding is that the TPN call for support is a voluntary one; if I dont want joining I would simply keep quite or say no quitely without trying to discourage others who maybe convinced, however flawed the organisation may appear.


Please don't keep quote is a cumbersome situation such as that (text in red).





.
 
In my own understanding Sanctus Mutsimbe has explained enough to either rouse one intent and interest to join or not. If one is interested, enough information has been shared here. And to the contract, if one needs to make an informed decision either for or against TPN that decision can easily be arived at, by going through the posts from the beginning, I believe there is plenty to go by!!!
 
asante kwa jibu lako mzalendo Rais. Nimefuatilia huu mjadala na nimegundua kuna wakati huwa unajibu maswali wakati wa usiku sana,hii inadhihirisha jinsi ulivzokuwa commited na kuiendeleza jamii za watanzania kupitia TPN.Nakushukuru kwa niaba ya watanzania wengine na again nakuahidi ushirikiano wa karibu later this year.
Kazi njema.
 
Najaribu kupitia mjadala mzima maana nipo nyuma kidogo lakini hii ya Kuhani ni kali mno!

Mtsimbe unatakiwa kujiuzuru!!! Lol!

Mzalendo Mzozo, ndo hivyo tena, jamaa anataka nitoke ikulu hata kabla ya ndoto yangu ya maisha bora kwa kila mwanataaluma haijatimia . . . LOL

Its good to know how different people present issues . . .
 

Mzalendo Wakunyuti, inawezekana unalosema ni sahihi na mimi pia natambua hivyo. katika NGO nyingi kupima na kutoa judgement katika kipindi cha mwaka moja si rahisi. Ingawa ninaamini TPN ina mafanikio mpaka sasa lakini hayajawa ni mengi na makubwa kuweza kuleta impact. Lakini tumeanza vizuri.

Katika miaka kumi TPN tutakuwa wapi . . . . Ili nikupejibu la kisayansi nitakueleza kwanza ni nini TPN imefanya: Mpaka sasa tuna TPN Taifa, DSM, Arusha and Tanga. Bila shaka in 10 years TPN itakuwa nchi nzima mpaka wilayani. Mpaka sasa ndani ya TPN watu wanaungana na kuanzisha makampuni. Toka tuanze karibu makampuni 5 yameundwa kwa mtindo huu na kuchanga mitaji, hivyo katika miaka kumi bila shaka kutakuwa na makampuni mengi.

Mentoring Seminar ni Muhimu katika ku-transform attitude na mindset - toka tuanze tumeshafanya event karibia 9 DSM, Arusha na Tanga, bila shaka katika miaka 10 events zitakuwa nyingi na impact yake katika attitude change itakuwa kubwa. Si hilo tu bali pia suala zima la ujasiliamali, Mitaji na Masoko ambalo ndiyo matatizo makuu ya Wajasiliamali Wanataaaluma litakuwa nimepatiwa ufumbuzi kwa kiasi kikubwa.

Tunaunda TPN Fund this year - I hope in 10 years it will be a Bank.

TPN tumepata respect ya kutambuliwa na baadhi ya taasisi za fedha na kupewa offer ya unsecured loan . . . katika miaka 10 . . . . u can think what might happen.

Tunataka kuondoa umasikini kwa watanzania ambao zaidi ya asilimia 70% wanaishi vijijini ingawa wanachangia asilimia karibu 40% katika pato la taifa - TPN ililiongea hili na kubuni mkakati wa mapinduzi ya kilimo kwa kuanzisha vijiji vya ujasiliamali kupitia makampuni ya wanachama vitakavyohusika na kilimo cha kisayansi na mambo mengine ya kijasiliamali huku vikiwa na masoko ya uhakika kwa mazao yao. Vijiji hivi vitaendeshwa kijasiliamali.

TPN . . . Tayari inayo leseni ya kuendesha Carnival Festivals . . . "Tanzania Style" ikiwa ni katika jitihada za kuongeza mapato, kukuza utamaduni, culture tourism nk. Mikakati inaendelea . . .

Kuna mengine mengi ambayo yanaweza kupimwa kwa kuangalia TPN imefanikiwa kiasi gani katika huu mwaka moja . . . tafadhali rejea post zangu za nyuma.
 

Asante sana kwa hili, kwa hakika kitu ulichokisema kilishaongelewa ndani ya TPN. Mkakati uliopo kwa sasa ni kuwa na TOVUTI nzuri na ya kisasa (Dynamic Website) ambayo itakuwa inaweka issue mbalimbali with Terms of Reference ambazo zinatakiwa zifanyiwe mjadala, uchambuzi na kisha kutolewa recommendation kabla ya kuandaa report za kisayansi na kukabithi kwa wanaohusika . . . Asante kwa wazo zuri.
 

Njimba, asante sana kwa observation zako:
Ni kweli ili uwe mwanachama active na kupata benefits zote ni vema ukilipa ada.
  1. Quality assuarance . . . kabla hujalipa fees kuna form maalumu ya kujaza either kupitia tovuti au fomu maalumu ambayo TPN itakutumia kwa ajili ya kuweka particulars zako. Mpaka sasa sijwahi kupata taarifa kama kuna application ambayo member haja-qualify. So no need to be worried on the issue of quality assuarance. Nadhani in practcal sense si rahisi mambo yote kuyaelezea katika email unayoi-refer.
  2. Qualification of member . . . nadhani nimelielezea hapo juu kwamba lazima ujaze form ya particulars zako. Pia refer categories of membership ingawa kimsingi TPN italiangalia upya suala hili.
  3. TPN is interested not only in quantity but also in quality and output as well . . . please refer above.
  4. Your 100,000/= contribution - As mentioned, TPN can't write everything on email. There must be other additional information on communication. If you have paid 100,000/= without completing the forms, then there might have been mistakes. Please confirm if this has happened to anyone.
  5. Harvesting wadanganyika money . . . LOL. Not clear, but I hope maelezo ya hapo juu yanaweza kukushawishi ufute usemi wako.
 

Mzalendo Kitila, Nilipoomba msaada wa mawazo, nilikuwa tayari pia kusikia hoja za namna mbalimali. Watu wote hawawezi kufikiri katika pattern moja unless kama wamefanyiwa Mentor Coaching na bado still wanaweza kutofautiana. Naamini Njimba alipotoa maoni yake aliliangalia katika mtazamo aliouwakilisha ambao ndiyo anavyoamini.

Hata hivyo TPN tumejifunza kuwa ni vema kutoa guideline zaidi katika mawasiliano kabla mtu hajaamua kujiunga.

pamoja na hayo, nakushukuru sana kwa mtazamo wako kuhusiana na kile ambacho unakiamini. I believe with time many people will come to know that TPN is a genuine organization.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…