JF Karibuni Tanzania Professionals Network




Sanctus Mtsimbe,

Sikuelewi kwanini unang'ang'ania hiyo hoja yako ya majina halisi. Usitupotezee muda tuna mambo mengi ya kujadili hapa JF. Kama umetumwa umechemsha.
 

Hello GM, indeed I have got a basket full of tangible ideas. Actually what I will do is to come up with a summarise report on how TPN should transform itself to a top organization and present in to TPN for discussion.

I think this is the best way of looking into matters particular the consititution. I wish hata Katiba ya Nchi ingejadiliwa na wananchi.

Originally we used a Standard Consitution used by Commission of Charities in UK. They have a standard constitution which has gone through a harsh tests to make sure it suits NGO's. . . .

http://www.charity-commission.gov.uk/publications/cc22.asp#60

TPN adopted but after careful customization. But looks like sharing opinions is the best thing to have a perfect document and procedures.

GM, hii kitu ikitoka hapa itakuwa moto wa kuotea mbali. and I challenge my colleagues in JF to come forth participate and take various leadership positions at TPN if they are able.

TPN is not about Mtsimbe, its about the progress of our country if someone wants to look at a a big picture.

Hawa wakulu wa humu JF wamenisaidia sana. Let us wait and see now.
 
Good we need a committed leader like you...ngoja niipitie your constitution vizuri and then i will make my own decision..but i think ni idea nzuri before hata ku iread hiyo const...but anything might happen...let me take my time

Mzalendo Wakunyuti, nimekusoma Mkuu. Na hata ukishaipitia mkuu, kama kuna mapungufu tuwasiliane. Thanks a lot.
 

I agree with you. This was a problem. Kwa wakati ambapo watu wameshaumwa na nyoka wanatakiwa wawe makini sana, hela ije nyuma kabisa baada ya mwananchi kuelewa malengo na kuyakubali. Vinginevyo kama watakuwa wepesi wa kudai mahela tu, kama ulivyosema awali, wataonekana ni walewale wahangaikaji wnaotumia kalamu kuwaibia wananchi, na ndio itakuwa mwisho wa mchezo!! Hili ni angalizo muhimu ambalo lazima TPN walichukue!
 

Mzalendo Njimba nimekupata. Hakika katika katiba moja ya category ya members ilikuwa ni lazima awe amesomea fani toka taasisi za elimu ya juu. Lakini kulikuwa na argument hapa JF kwamba, je fundi seremala au mkulima mzuri au fundi makenika ambao hawajasomea na wao pia si wanataaluma?

Hii imesababishia kufikiria wazo la kufanya wanataaluma wawe ni wale ambao wamesomea na wale ambao wana uwezo wa kufanya vitu vya kitaaluma hata kama hawajasomea. Tutayafanyia kazi maoni yako mzee.

Hili la kuku na yai . . . LOL. Nadhani mkuu, tutawaelekeza pale ofisini TPN waanze na fomu ya maombi kwanza baada ya approval ndiyo waulizie fees. Ila tumetahadharishwa ni vema kusiwe na ugumu wa kujiunga kuondoa hisia ya matabaka.

Asante sana Mzalendo.
 

Njimba, asante sana kwa changamoto. No. 1 hapo juu tutaifanyia kazi pia.
 

Mzalendo Njimba, ni kweli JF ni kiboko. Issue yangu mimi ilikuwa baada ya kukuomba upitie baadhi ya posts na website, nilikuomba unijulishe kama kungekuwa na issues za ku-clarify bado. Uliporudi, ukaja na hiyo mail. Hata hivyo mail hiyo si confidential. Ila nafurahi kujua kuna mbinu umetumia kupata email hiyo.

Mzee unafaa uwe Intelligesia ya TPN kama ungependa . . . LOL. Hata hivyo hatutamfukuza staff huyo, kwani itakuwa ni kunyume cha kanuni za kazi.

karibu sana TPN ndugu yangu tuijenge nchi.
 


Ndugu yangu Kitila, mimi sina la kuongeza maana yote uliyoyasema yanajitosheleza. karibu sana tuungane na kusaidiana katika kuleta maendeleo.

God bless you!
 

Wazalendo Kitila na Njimba, asante sana kwa michango yenu.
 




Sanctus Mtsimbe,

Sikuelewi kwanini unang'ang'ania hiyo hoja yako ya majina halisi. Usitupotezee muda tuna mambo mengi ya kujadili hapa JF. Kama umetumwa umechemsha.

Mzalendo Kungurumweupe, nadhani huenda hujafuatilia mjadala. Kinachongelewa sasa si mambo ya kutumia majina halisi au la. Hilo lilimalizwa muda mrefu kwa kuelewana kuwa majina bandia lazima yatumike kwa sababu za msingi.

Pia natambua kuwa hapa JF kuna majukwaa mengi na threads nyingi sana na si lazima iwe hii tu na mtu yuko huru kuchagua apendapo. Lakini je, unaweza kuwakatisha watu wasiandike? Kuna mambo ambayo yalitaka maelezo na mengine ni maoni yao juu ya TPN. Tuvumiliane.

Ukipia thread hii yote na kuwa makini, utagundua kuwa sikutumwa na mtu na wala hakuna kitu chochote cha nia mbaya.
 

Thank you all. Point noted.
 


Hii ishu ya kutumiwa form ya maombi imekuwa application ya shule au chuo, inabidi tutofautishe taratibu hizi. sioni kwa nini utumiwe form ya maombi au ujaze form ya maombi, person information na details za ku-qualify kwako ukitoa na proof za how you qualify zinatosha. kutumiana form za maombi ni kuanzisha ukiritimba ambao hauna mpango.

Professional kama quantity surveyors, doctors, engineers wanahitaji aidha kuomba kwa kutumia application form au kwa ku-proof kwa mitihani ya bodi au something. tusianze ku-complicate mambo jamani. Kuna njia nyingi za kucheki qualification za mtu na pia vile vile kuna hata kampuni ambazo kazi yao siku hizi ni kufanya background au qualifikation check.
 

Mkuu GM,

Sasa wewe unapendekezaje? Msaidie Mr President of TPN ili asahihishe hili.

Njimba
 
Mkuu GM,

Sasa wewe unapendekezaje? Msaidie Mr President of TPN ili asahihishe hili.

Njimba

Njimba,

kwa mawazo yangu mie nafikiri utakapotuma registration fee pamoja na annual fee, TPN wanapaswa kuwa na mechanism ya ku-verify information zote ulizotoa ikiwa ni pamoja na kucheki kuwa una-qualify kuwa mwanachama kisha wanakujulisha kuwa umekubaliwa kuwa mwanachama na pia katika kufanya verification yao ili kujua kuwa wewe unayesema kuwa ni fulani ndio hivyo kwamba ni wewe wanapaswa kutumia hata third part kufanya hili. Lakini kwa vile uanachama sio ishu ya life and death wanaweza wasihitaji kutumia verification organization ila wawe na utaratibu wa kucheki maelezo ya mtu na qualification zake kikatiba. kama hajaridhisha matakwa ya kuwa mwanachama wanamrudishia pesa na kumueleza kuwa ni lipi ambalo hakutimiza.
 
kama watachukua pesa tu za registration na kukubali at face value kwamba wewe ni fulani na qualification zako ndio hizo then wanawela loop hole kwa wale ambao watakuwa wanatafuta benefit fulani na kuipata wanaona ni kuwa mwanachama. Professionals need to be really professionals. Kwa mfano unaweza ukaenda kwa mwanasheria na vyeti vyako pamoja na vitambulisho vyako pamoja na copy za hizo document then mwanasheria aka-certify au aka-notorize kuwa hizo ni true copies za originals. Cha muhimu hawahitaji ku-complicate issue nzima ya uanachama, ila inabidi wawe waangalifu. kama mtu atapata mkopo banki au kazi kwa dhamana ya TPN then TPN wanapaswa wawe makini kwa sababu kama chochote hakitaenda sawa na TPN walikubali qualifications au identity za mwanachama wao katika face value then watakuwa wameingia katika litigation ambazo zingeepukika.
 

I can see you share my woes!

However, Mr President promised to do something.

Njimba
 
Bw Mtsimbe...ur Organization needs to do more to convince others..and u should preach injili ya uzalendo to the current members of ur organization to be more active rather than sitting and waiting for the meetings only..my concern here is to rescue our beloved poor country from the pool of Mafisadi who make our country to be a laughing stock 'n the eyes of other nations...let ur Network/Organization be the active figure in this process of regain our reputation from other nations..msikubali kwa nia yeyote kumezwa na mafisadi hata kama wanachangia chama chenu kwa namna yeyote ile...be strong..ningependa Organization yenu iwe ni taswira ya uzalendo wa kweli na mtaheshimika na kupata members wengi na i hope kwa kuanzia hapo...tutapiga hatua kubwa sana katika kuliondolea taifa letu katika aibu nyingi ambazo zinatutesa kwa sasa... ''tatizo ni kuwa na humo ndani ya hicho chama utakuta na mafisadi nao wamejificha......!!''
 


Well spoken Wakunyuti!
 

Thanks and Noted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…