Kungurumweupe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 317
- 108
Hofstede nakubaliana na wewe. Ni kweli kama kuna mtu ana mambo nyeti au anataka kutoa mchango wa ku-Criticise hatapenda hajulikane, na nadhani hilo ni la msingi sana ili kuhakikisha mhusika anatoa mchango wake bila kuwa na wasiwasi.
Pengine mimi nimeona nijitambulishe kwa ajili ya role yangu katika kutoa taaarifa hizi. Wengi wengependa kujua kwa uhakika anayeleta habari hizi ni nani na kwa nini. Na kwa hili nitakuwa muwazi katika kujibu au kuelezea critics zozote na mambo mengine kama alivyoanza ndugu yangu Matejoo hapo juu kwa maandishi makubwa sana.
Hata hivyo sidhani kama tukionana katika Networking Meeting utatumia jina lako hilo. Na hata ukijitambulisha katika hiyo meeting kwa jina lako sitaweza kujua kama wewe Hostede katika JF.
Sanctus Mtsimbe,
Sikuelewi kwanini unang'ang'ania hiyo hoja yako ya majina halisi. Usitupotezee muda tuna mambo mengi ya kujadili hapa JF. Kama umetumwa umechemsha.