JF Karibuni Tanzania Professionals Network

Mimi ni mwanachama wa TPN. Lengo la kuanzisha network hii ilikuwa zuri, lakini nadhani hatujajipanga vizuri na kuangalia jinsi gani tunaweza tukautumia huu mtandao katika masuala yafuatayo: networking, information exchange, mentoring, professional development and business skills development.
 

Asante sana GM. Nadhani haya ni mapendekezo mazuri sana ya kiutendaji. Haya pia tutayaangalia ndani ya TPN. Asante sana.
 

Dotori,

Afadhali umejitambulisha na hata kuja kumsaidia president wenu hapa, tulikuwa tunamuuwa bila huruma(just joking) naye kashikilia hata mkiniuwa mie siachilii! He has really set a good example on responsibility and committment!! Way to go Dotori and your President!!!
 
Sijapitia posts zote lakini mtazamo wangu ni kwamba si jukumu la TPN kufanya verification ya qualifications za wanachama. Nadhani tungetumia muda huu kujikita zaidi katika maeneo niliyoainisha hapo awali.
 
Sijapitia posts zote lakini mtazamo wangu ni kwamba si jukumu la TPN kufanya verification ya qualifications za wanachama. Nadhani tungetumia muda huu kujikita zaidi katika maeneo niliyoainisha hapo awali.

Dotori,

Sio kwamba nasuggest kuwa mambo ya verification yapewe kipa umbele, nilikuwa tu namjibu mwana JF mwenzangu, ukifuatilia thread unaweza kuona tulifikaje hapo.
 
Msimbe,
Ningeshauri ukaitisha mkutano wa wanachama ili tuweze kupeana mwelekeo wa wapi tulipotoka na wapi twende.
I have noted that the focus has been to open up more TPN branches and setting up some workshops, but I feel there is more that TPN can do.
Mkutano huu ukiitishwa mapema itakuwa bora zaidi.
 

Doroti,

TPN ikiitisha mkutano basi members wafanye brainstorming ya direction na future ya TPN, waje wakiwa na agenda za kufanyia kazi, isiwe ile mikutano wanaenda kumsikiliza mwenekiti na yey ndiye anakuwa na main agenda. Nafikiri kwa mwaka mmoja sasa wanachama wanaweza kuwa na tathmini nzuri mwelekea uwe vipi na utekelezaji wa majukumu uende vipi. wasio na moyo watakuwa wameishajulikana au kuonekana!
 

Nakubaliana na wewe. Cha msingi cha kuangalia goinf forward ni jinsi gani we can harness the skillset within the TPN to better ourselves professionally, create business opportunities and also contribute positively in social, political and economical arenas.
 

Mzalendo GM, issues ulizozielezea ni muhimu sana. Ingawa bado hatujapata matatizo ni vizuri kujiwekea utaratibu wa kuhakikisha kuwa hakuna loophole itakayoachwa na kufanya wasio waaminifu watake advantage.
 

Excellent stated Doroti and I couldn't agree more with you!! Bravo!
 

Wakunyuti bro, asante sana. U have spoken as if u were in my mind. U know if TPN will become so strong, no body will complain about hardship of life as TPN can empower them. Please let us all join hands.

Warm and kind regards
 

Mkuu Dotori

Wakiweza kabla ya huo mkutano waambieni wajumbe wenu wapitie thread zote kwenye hii forum, nina imani mengi yamesemwa kuanzia vipengere vya katiba ya TPN, aina ya wanachama na jinsi ya kuwapata,etc

Mengi yameongelewa hapa, of course you are not bound to agree with JF members' pieces of advice; At least mengine yatawasaidia.

Ninapendekeza any person who is accredited member of any professional body like I, should be prioritised, so next time I visit your office will only show you my professional membership card and should register me at instant. Samething should be applied to registered engineers, doctors, lawyers, etc. Your organisation is all about Professionals. Isn't?

You should think also what will happen when you will have one milion members. What will happen when all founder members retire? Say in 20 years' time.

Be careful the Name Tanzania Professionals Network might be bigger than the way you people at TPN think. Please bear in mind that Tanzania has a population of almost 40 milion.

Njimba
 
Well spoken Wakunyuti!


Mzalendo Dotori, Thank you for coming. Unajua weakness kubwa sana tuliyonayo sasa hivi TPN nadhani ni kwa sisi viongozi na members kuwajibika. Kila mtu angefanya sehemu yake kama ipasavyo huenda TPN ingekuwa mbali sana.

Any way next month August 2008, tunafanya AGM na nimetoa hoja kwa wale wasioweza kuwajibika waachie ngazi. Kuna wengine wako tayari ili walio na energy ya kufanya kazi non-stop waweze kuingia katika uongozi na kuipeleka TPN mbali zaidi.

Ningependa sana wengi wajitokeze katika hili. Please spread the news.
 

LOL . . . Kama PM na Meremeta (joke haaa haaa)
 

Njimba,

Haya ndio maneno sasa nafikiri wataona na kusoma pia!
 
....Any way next month August 2008, tunafanya AGM.....Ningependa sana wengi wajitokeze katika hili. Please spread the news.

Unfortunately August, I will be out of town. But I can still contribute electronically if the agenda is distributed ahead of the meeting.
Msimbe, as I have said before the idea is good, but it needs all of us to use our diverse background to enrich it and take it to the next level.
 

Asante Mzalendo Dotori. Annual General Meeting itakuwa this coming August 2008. We are doing a ground work for that meeting now including seeking opinions here at JF.
 

Thanks GM. Well presnted observation.
 

Thanks Datori. Please let us meet before if possible to share ideas. U dont need to disclose your identity if u prefer so, but I really want TPN to make a huge transformation now than ever. One year is enough to study ourselves and make necessary changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…