Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ni vile tu Joannah amenizuia, but ningefunguka hii nguvu ya kuandika hivi usingepataDr uwe unahudhuria vikao.!!
Tulikubaliana wanawake wote hatuna pesa na hatujawahi kumiliki pesa..!! Sasa ww zawadi za magari pesa tunatoa wapi???
Eti mwenyekiti?? Joannah ππππ
Kauli mbiu ya chama ;Mwanamke tulia utunzwe
Nakupa zawadi ya pen ποΈ uandike mistari baby sawa..??? π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNi vile tu Joannah amenizuia, but ningefunguka hii nguvu ya kuandika hivi usingepata
Wala sikulaumu, namlaumu Joannah huyu dada akinizuia huwa nakuwa wa baridi sana. Hii jeuri usingekua nayoNakupa zawadi ya pen ποΈ uandike mistari baby sawa..??? π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
We sema unataka kuongea uongo hapa π€£π€£π€£π€£Wala sikulaumu, namlaumu Joannah huyu dada akinizuia huwa nakuwa wa baridi sana. Hii jeuri usingekua nayo
Happy valentine Dr LizzyHello ladies!!
Niseme ukweli, mimi sio mtu wakutilia sana maanani sikukuu(s) zaidi ya birthdays. Kwahiyo sikumbuki kusherehekea Valentine na mtoto wa mtu, ila zawadi ambayo nimewahi kumpa mkaka akafurahia sana was a surprise 4-day gateway.
Anyway, leo tujikite kwenye kutoa zaidi ya kupokea maana hako ni kamoja ya ka-weakness kakubwa kwa baadhi yetu.
Kwanza kabisa, ni zawadi gani nzuri sana ambayo umewahi kumpa mume/mpenzi wako kwaajili ya Valentine.
Pili, kwa wale ambao wako kwenye mahusiano, unapanga kumpa zawadi gani mpenzi/mume wako Valentine hii??
Huku mtaani kuna wakaka nawasikia wakisema wamechoka ile uniform ya kaoshi na boxer, chocolate, and the likes.
So...how about something a little different this year?
- Perhaps kitu kinachoendana na hobby ama kazi yake, (a new computer, video games, something car related kwa wapenzi wa magari, a good book, Internet subscription na router ya 5G kabisa kama vipi, viatu vya mpira, camping gear kwa wale ambao ni outdoorsy, subscription ya gym, VIP ticket ya kwenda kuangalia team yake etc.).
- A nice romantic dinner at home au restaurant.
- A gift card for spa treatment akapate massage kutoka kwa professional masseuse na facial.
- A beautiful love letter...
- A weekend gateway! Na hivi Valentine imedondokea katikati ya wiki, unaweza ukajidai hujampatia zawadi yoyote alafu weekend unam-surprise haswa!
All in all, muhimu zaidi ni kupendana kweli, kuheshimiana, na kuwa appreciative towards each other throughout the year, sio kwa maonyesho ya siku moja tu.
PENDANENI RESPONSIBLY
View attachment 2896464
Happy valentine ChakoriiNaona tuanaanza kuikaribia ile siku ambayo mpenzi wako nae kaenda kwa mpenzi wake
Ooh hivi Valentina wewe ulizaliwa siku ya Valentine eh?Msukuma wewe ntakununulia gari
Sema suu....We sema unataka kuongea uongo hapa π€£π€£π€£π€£
Acha kunitisha πππSema suu....
[emoji38][emoji38][emoji38]khaaaa,,,kauli mbiu mwanamke tulia utunzweDr uwe unahudhuria vikao.!!
Tulikubaliana wanawake wote hatuna pesa na hatujawahi kumiliki pesa..!! Sasa ww zawadi za magari pesa tunatoa wapi???
Eti mwenyekiti?? Joannah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kauli mbiu ya chama ;Mwanamke tulia utunzwe
koh koh kohNakupa zawadi ya pen [emoji2768] uandike mistari baby sawa..??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]