JF Ladies kuelekea #VALENTINE2024 ❤️

JF Ladies kuelekea #VALENTINE2024 ❤️

Basi tu haters watapanic tukianza kutaja zawadi na plan zetu kwaajili ya watu tunaowapenda, lakn kwa ground huko watu wanajitoa sana, watu wana honga asee, watu wanagawa pochi nene, watu wanazigawa zawadi kama hawana akili timamu[emoji3][emoji3], mpaka wanatufanya wengine tujione wanyonge...anyway financial services WILL YOU BE MY VALENTINE??? [emoji28][emoji28][emoji28] kuna kakitu Mpesa kwaajili yako[emoji28][emoji28]
 
Hivi hio siku ndio siku ya Mtakatifu valentin?

sionagi umuhimu wake kabisa tofauti na siku kuu nyingine.

hata hivyo huu ushauri ndugu mleta mada ni mzuri sana, wahusika natumanu watauzingatia, kwa vile wewe ni mwanamke mwenzao labda watakusikia.
Huwezi kuona umuhimu wa hii siku kama hujampata mtu akautekenya moyo wako ukatekenyeka, kiasi kwamba hata akikohoa wewe uyoo una lundo la polee na faraja za kutosha kwake, namaanishi mtu wa kumpenda/akakupenda atakaekufanya ujue nini maana ya upendo kamili na sio maigizo,

Mtu huyo anaweza kuwa rafiki, mpenzi, mchepuko, mke, jirani, bosi, mzazi, mlezi au vyovyote basi hata mnyama unaweza kumpenda.

Dunia ya sasa watu wengi hawajui nini maana ya upendo kwakuwa wamepungukiwa hisia na roho ya kupenda, ukipata bahati ya kuwa ktk upendo usijinyime, maisha ndio haya haya, jitoe na uheshimu hisia zako, upendo ni pamoja na zawadi sio maneno matupu.

Tupendane asee
 
Dr uwe unahudhuria vikao.!!
Tulikubaliana wanawake wote hatuna pesa na hatujawahi kumiliki pesa..!! Sasa ww zawadi za magari pesa tunatoa wapi???
Eti mwenyekiti?? Joannah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kauli mbiu ya chama ;Mwanamke tulia utunzwe
Wewe utakuwa umepungukiwa Hisia za upendo, ukimpenda mtu hata hizo sheria zenu za kitapeli ktk vikao vyenu lazima utazivunja ili umfuraishe umpendae, alafu ni nani aliwaambia Valentine ni kwaajili ya watu wenye mahusiano ya kimapenzi? Acheni uchoyo, tugawieni hizo zawadi msifiche pesa zenu mwisho mfe msahau hata kutia password za simu zenu kisa uchoyo nasemajeee, hizo zawadi tupeni tu
 
Basi tu haters watapanic tukianza kutaja zawadi na plan zetu kwaajili ya watu tunaowapenda, lakn kwa ground huko watu wanajitoa sana, watu wana honga asee, watu wanagawa pochi nene, watu wanazigawa zawadi kama hawana akili timamu[emoji3][emoji3], mpaka wanatufanya wengine tujione wanyonge...anyway financial services WILL YOU BE MY VALENTINE??? [emoji28][emoji28][emoji28] kuna kakitu Mpesa kwaajili yako[emoji28][emoji28]
Morning mkuu, hapo kwenye Mpesa hapo😋😋 si unajua tena hili jina na pesa ni dam dam yani, "i said Yessss" namba yangu nakutumia soon😀😀
 
Back
Top Bottom