Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Haya tutawapa zawadi ya kuwapost WhatsApp ila mtuwekee bundle 😜Wewe utakuwa umepungukiwa Hisia za upendo, ukimpenda mtu hata hizo sheria zenu za kitapeli ktk vikao vyenu lazima utazivunja ili umfuraishe umpendae, alafu ni nani aliwaambia Valentine ni kwaajili ya watu wenye mahusiano ya kimapenzi? Acheni uchoyo, tugawieni hizo zawadi msifiche pesa zenu mwisho mfe msahau hata kutia password za simu zenu kisa uchoyo nasemajeee, hizo zawadi tupeni tu