Sir Bulbul
Senior Member
- Feb 3, 2024
- 151
- 324
Kama kuna zawadi ya valentines nitaitoa kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu basi nitampa Mama Mwana, kama uko tayari jiandae au na wewe una mpenzi wako?una ufala mwingi sana ww hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna zawadi ya valentines nitaitoa kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu basi nitampa Mama Mwana, kama uko tayari jiandae au na wewe una mpenzi wako?una ufala mwingi sana ww hahaha
Bora tufungue uzi wetu wa kupeana gift kila tunapoweza kufanya hivyo, sio kusubiri siku maalumEmbu fungua huo uzi wetu
Ni maisha pia mkuuHahahahaha...mie sina wakunipa zawadi hivyo sitarajii kupata chochote toka kwa yoyote
Yeah mkuu..sie wengine tuna mikataba na tbl na sbl ya kudumuNi maisha pia mkuu
Tuwaungishe tu hakuna namnaYeah mkuu..sie wengine tuna mikataba na tbl na sbl ya kudumu
[emoji23]Kikubwa ni kuhudhuria kanisan jumatano ya majivu
Hahahahaha...sijawahi kupendwa ...wala sijawahi kupendaTuwaungishe tu hakuna namna
Zingatia ujumbe tulia utunzweDr uwe unahudhuria vikao.!!
Tulikubaliana wanawake wote hatuna pesa na hatujawahi kumiliki pesa..!! Sasa ww zawadi za magari pesa tunatoa wapi???
Eti mwenyekiti?? Joannah 😂😂😂😂
Kauli mbiu ya chama; Mwanamke tulia utunzwe
Kabisaa bff 😜Zingatia ujumbe tulia utunzwe
Kwahiyo hujui upendo upojeHahahahaha...sijawahi kupendwa ...wala sijawahi kupenda
Hahahahaha kwa kweli sijuiKwahiyo hujui upendo upoje
tafuta mtoto wa mtu ufosiHahahahaha kwa kweli sijui
Duhtafuta mtoto wa mtu ufosi
Dada, Happy New year kwakoTutakaokuwa kwenye majivu tujuane
Tutakaokuwa kwenye majivu tujuane