Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Karibu mgeni,vp umekuja na shemeji au ? ila usihofu karibu free stresss zone tufurahi pamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utamu unaanzia hapohapo
akuuuuuuu ukaribisho watosha
Karibu mgeni,vp umekuja na shemeji au ? ila usihofu karibu free stresss zone tufurahi pamoja.
trust me huyu si mgeni
Hutaki tugusanishe kojoleo zetu?
umefika mbali tusivunjiane heshima
Yaani we mgeni halafu unajua kuwa mi nna vituko?
Mgeni mwenyeji wewe.....
Hutaki tugusanishe kojoleo zetu?
outline five reasons to support your comment
1. Unajiamini mno kuliko wenyeji
2. unazielewa tabia za wenyeji wengi mfano NYANI NGABU
3. Ulishapigwa ban kwa ile id yako ya mwanzo
4. umekuja moja kwa moja mmu badala ya kuenda kwa wageni(wageni lazima waende utambulisho)
5. una ids nyingi! (mtazamo tu)
1 nimefundishwa kujiamini na mama yangu tangu mdogo mama yangu ni mwalimu
2refer to nyaningabu comment ameeniita mgeni kisoda nikasema ana vituko kwa kuangalia jina lake na tabia za nyani ulikuwa utank
3sijawahi na sijui maana ya ban ki jf
4majukwaa sijayajua vizuri kuku mgeni hakosi kamba mguuni
5mtazamo wako si sahihi
mimi ni memba mpya nimevutika kujiunga jf naomba kukaribishwa
mhhhhhhh
1 nimefundishwa kujiamini na mama yangu tangu mdogo mama yangu ni mwalimu
2refer to nyaningabu comment ameeniita mgeni kisoda nikasema ana vituko kwa kuangalia jina lake na tabia za nyani ulikuwa utank
3sijawahi na sijui maana ya ban ki jf
4majukwaa sijayajua vizuri kuku mgeni hakosi kamba mguuni
5mtazamo wako si sahihi
Karibu jf, unakunywa nini?