JF member leo share weakness yako hapa

Nampenda sana leonel messi......... jamani nimeoza kwake
 
Nikiona mtu anapitia mazingira magumu huwa navaaga viatu vyao..najikuta napata huzuni mno machozi hunimwagika.niko tayari kumpa chakula nikalala na njaa.

Ndoto yangu kubwa mnoo na ni namuomba Mungu anisimamie katika hili,,ni kuweza kuwasaidia watu wenye uhitaji.


🥺🥺🥺🥺🥺kama hujapitia shida na magumu huwezi Elewa.

Sorry nimeweka mada zaidi ya moja sehemu moja
 
We the same, Ukiachana na niliyopitia mpaka kufika hapa , Ni asili kusaidia watu baba yangu Alikuwa hivyo bahati mbaya alikufa mapema mno, macho yangu huwa hayaachi kutoa machozi na nafsi haiachi kusononeka napomwona mtu anateseka BSE I've been through a lot.
Niwe vyema nitafungua orphanage au nitaasili watoto .
 
Nahisi nimepata mtu wa kuniongoza.hayo niliyoyabold ni Mungu anisimamie tu 👏👏
 
Dada nisaidie napitia mazingira magumu Mimi mpk nakutana na mumi njiani Yani we acha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…