JF member leo share weakness yako hapa

Wivu tu! Haya dada we endelea kutafutatafuta ila kwangu kaa ukijua una mawifi!!.. na huo uchibonge utapata kweli..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Eheee ndani yake ninasukariukiingia huchomoki ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hebu huko tena uniwache.

Usisahau kuvaa ndomu na hao mawifi
 
Eheee ndani yake ninasukariukiingia huchomoki ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hebu huko tena uniwache.

Usisahau kuvaa ndomu na hao mawifi
Ati sukarisukari ndo unavyojifariji..๐Ÿ˜…
Ndomu sivai nilichokuwa nakitafuta nilishaga kipata niwache..๐Ÿคฃ
 
Ati sukarisukari ndo unavyojifariji..๐Ÿ˜…
Ndomu sivai nilichokuwa nakitafuta nilishaga kipata niwache..๐Ÿคฃ
Eheee kuna sukari na chumvi kwa mbali blaza.

Unatimu za mpira ngapi blaza.
 
Ngoja nivunge tu. Mana nina weakness kubwa sanaaร a ila nashindwa kusaidia nabaki kuumia moyoni bure๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
 
Asee kumbe tuko wengi kuna kipindi ninakuwa sina uwezo wa kusaidia hapo inafika wakati in sacrifice resources chanche nilizonazo. Namshukuru mungu huwa ananilipa zaidi na nitoavyo.
 
Aimeeeen[emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji141][emoji1774][emoji1774][emoji1774][emoji1774]
๐Ÿ‘๐Ÿ‘จโ€โš–๏ธ๐Ÿ‘ฉโ€โš–๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ