JF member leo share weakness yako hapa

Hiyo ndo ile mizimu ya zimwi likujualo halikuli likakwisha! Dada hapo mi siendi..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Huyo malaika akamalaikie huko..
Kwahiyo blaza unatupa fuko la fweza
 
Ur always my favorite...
 
One of my weaknesses maana mie nikiingia club kazi ni moja tu usiku wote niko dancing floor na kama DJ anajua kuzipanga debe halafu nina mrembo anajua kudance na anapenda kudance KIRUUUUUUU! ๐Ÿ˜œ
Wacha weee
 
Reactions: BAK
Ohooooo. Yeuyeeee
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงš
๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Sema sio kivilee yani kivilee...


Hiyo ndo weekness yangu๐Ÿคฃ
 
Weakness ya 1. Naweza kwenda baa kunywa bia 3 au nne lakini nikajikuta nimekunywa hadi kesho yake na hela zote nimemaliza na kichwa kinaniuma na sina hamu ya kula.

2. Chinga anaweza pita na kitu kizuri mfano(viatu,mkanda, tishirt au hata suruali) najikuta nimenunua hata kama haikuwa kwenye bajeti.

3.Niko tayari njaa iniume lakini niwe nimevaa shati au jeans kali, naweza nunua bando badala ya msosi.

4.Pisi kali kali mimi ndo naugua kabisaaaa

Just to mention few.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ