JF member leo share weakness yako hapa

JF member leo share weakness yako hapa

Nikiona mtu anapitia mazingira magumu huwa navaaga viatu vyao..najikuta napata huzuni mno machozi hunimwagika.niko tayari kumpa chakula nikalala na njaa.

Ndoto yangu kubwa mnoo na ni namuomba Mungu anisimamie katika hili,,ni kuweza kuwasaidia watu wenye uhitaji.


🥺🥺🥺🥺🥺kama hujapitia shida na magumu huwezi Elewa.

Sorry nimeweka mada zaidi ya moja sehemu moja
Ur always my favorite...
 
One of my weaknesses maana mie nikiingia club kazi ni moja tu usiku wote niko dancing floor na kama DJ anajua kuzipanga debe halafu nina mrembo anajua kudance na anapenda kudance KIRUUUUUUU! 😜
Wacha weee
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Weakness ya 1. Naweza kwenda baa kunywa bia 3 au nne lakini nikajikuta nimekunywa hadi kesho yake na hela zote nimemaliza na kichwa kinaniuma na sina hamu ya kula.

2. Chinga anaweza pita na kitu kizuri mfano(viatu,mkanda, tishirt au hata suruali) najikuta nimenunua hata kama haikuwa kwenye bajeti.

3.Niko tayari njaa iniume lakini niwe nimevaa shati au jeans kali, naweza nunua bando badala ya msosi.

4.Pisi kali kali mimi ndo naugua kabisaaaa

Just to mention few.
 
Back
Top Bottom