Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We the same, Ukiachana na niliyopitia mpaka kufika hapa , Ni asili kusaidia watu baba yangu Alikuwa hivyo bahati mbaya alikufa mapema mno, macho yangu huwa hayaachi kutoa machozi na nafsi haiachi kusononeka napomwona mtu anateseka BSE I've been through a lot.Nikiona mtu anapitia mazingira magumu huwa navaaga viatu vyao..najikuta napata huzuni mno machozi hunimwagika.niko tayari kumpa chakula nikalala na njaa.
Ndoto yangu kubwa mnoo na ni namuomba Mungu anisimamie katika hili,,ni kuweza kuwasaidia watu wenye uhitaji.
🥺🥺🥺🥺🥺kama hujapitia shida na magumu huwezi Elewa.
Sorry nimeweka mada zaidi ya moja sehemu moja
Kwa tafsiri nyengine we ni boya!Huruma kupita kiasi hichi kitu kina nitesa sana.
Siyo Tatizo mkuu Ni the way ulivyo, VP hakuna mtu mwenye hulka hiyo kwenu?Huruma kupita kiasi hichi kitu kina nitesa sana.
Nahisi nimepata mtu wa kuniongoza.hayo niliyoyabold ni Mungu anisimamie tu 👏👏We the same, Ukiachana na niliyopitia mpaka kufika hapa , Ni asili kusaidia watu baba yangu Alikuwa hivyo bahati mbaya alikufa mapema mno, macho yangu huwa hayaachi kutoa machozi na nafsi haiachi kusononeka napomwona mtu anateseka BSE I've been through a lot.
Niwe vyema nitafungua orphanage au nitaasili watoto .
Dada nisaidie napitia mazingira magumu Mimi mpk nakutana na mumi njiani Yani we acha tu!Nikiona mtu anapitia mazingira magumu huwa navaaga viatu vyao..najikuta napata huzuni mno machozi hunimwagika.niko tayari kumpa chakula nikalala na njaa.
Ndoto yangu kubwa mnoo na ni namuomba Mungu anisimamie katika hili,,ni kuweza kuwasaidia watu wenye uhitaji.
🥺🥺🥺🥺🥺kama hujapitia shida na magumu huwezi Elewa.
Sorry nimeweka mada zaidi ya moja sehemu moja
Hebu huko na wewe😅😅Dada nisaidie napitia mazingira magumu Mimi mpk nakutana na mumi njiani Yani we acha tu!
Sio kwamba wewe ndo boya blazaKwa tafsiri nyengine we ni boya!
Ahaa kwahiyo Mimi sio mtu..?Hebu huko na wewe😅😅
Mi mwenyewe sina uhakikaAhaa kwahiyo Mimi sio mtu..?
Fafanua kabla sijakubadilikia!Sio kwamba wewe ndo boya blaza
Hili tuliache liwe kiporo..😂 hivi kweli we unahuruma kweli wewe..?Mi mwenyewe sina uhakika