JF member leo share weakness yako hapa

JF member leo share weakness yako hapa

Wivu tu! Haya dada we endelea kutafutatafuta ila kwangu kaa ukijua una mawifi!!.. na huo uchibonge utapata kweli..🤣🤣🤣🤣
Eheee ndani yake ninasukariukiingia huchomoki 😁😁

Hebu huko tena uniwache.

Usisahau kuvaa ndomu na hao mawifi
 
Eheee ndani yake ninasukariukiingia huchomoki 😁😁

Hebu huko tena uniwache.

Usisahau kuvaa ndomu na hao mawifi
Ati sukarisukari ndo unavyojifariji..😅
Ndomu sivai nilichokuwa nakitafuta nilishaga kipata niwache..🤣
 
Ati sukarisukari ndo unavyojifariji..😅
Ndomu sivai nilichokuwa nakitafuta nilishaga kipata niwache..🤣
Eheee kuna sukari na chumvi kwa mbali blaza.

Unatimu za mpira ngapi blaza.
 
Watata huwataki mkuu
Hapana mkuu me na watu watata hatuelewani napenda watu watumia ubongo.
Ke akiwa mtukutu halafu ana nywele ndefu naweza uza ng'ombe zetu zote za kule kwetu kwa ajili yake.😂
 
Ngoja nivunge tu. Mana nina weakness kubwa sanaaàa ila nashindwa kusaidia nabaki kuumia moyoni bure😒😒
 
Nikiona mtu anapitia mazingira magumu huwa navaaga viatu vyao..najikuta napata huzuni mno machozi hunimwagika.niko tayari kumpa chakula nikalala na njaa.

Ndoto yangu kubwa mnoo na ni namuomba Mungu anisimamie katika hili,,ni kuweza kuwasaidia watu wenye uhitaji.


[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]kama hujapitia shida na magumu huwezi Elewa.

Sorry nimeweka mada zaidi ya moja sehemu moja
Asee kumbe tuko wengi kuna kipindi ninakuwa sina uwezo wa kusaidia hapo inafika wakati in sacrifice resources chanche nilizonazo. Namshukuru mungu huwa ananilipa zaidi na nitoavyo.
 
Back
Top Bottom