JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

JF sio mtandao wa great thinkers labda zamani kipindi unaanza around 2007-2009
 
Great Thinkers wa Jf wananunua bidhaa zenye majina makubwa, na sio used kama ni AC wananunua brand ya LG na wachache sana Samsung.

Kama ni TV wananunua LG na Samsung !

Thread 'Nauza AC ya Hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa' Nauza AC ya Hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa
 
🀣🀣🀣,nilijua upo kigamboni,

Ndio maana hamununui bidhaa zinazotangazwa humu,,

Mie najua matajeere wote wa jf wanaishi mbeleπŸ€£πŸ™Œ
JF ina members waliotawanyika sehemu mbalimbali kwenye hii Dunia,nakumbuka nilisha kwambia nilipo,

So,niendelee kusubiri jibu au na mimi nipotezee tu?
 
Namba niliweka rudi tena kasome lile tangazo
Nirudi tena nikasome tangazo la nini?

Labda kama unataka debate,lakini namba ya simu hukuiweka mwanzo so inawezekana wengi waliokuwa interested na tangazo lako walipoingia wakaikosa hawakurudi tena wakijua muuzaji ni wale wale.
 
Acha pm wazi ndio utajua wanaomba kwa kufahamiana au vipi
Mimi pm iko wazi mbona,shida mnaombwa hela kwa sababu mnaandika mambo makubwa sana humu kiasi mnaonekana matajiri sana.
 
Mimi pm iko wazi mbona,shida mnaombwa hela kwa sababu mnaandika mambo makubwa sana humu kiasi mnaonekana matajiri sana.
Hehehee niandike mambo makubwa makubwa ili nini? Ni tabia tu ya mtu kuomba kila anapopata nafasi, haijalishi unacho au huna.. ipo siku nitakukumbusha huu ujumbe wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…