JF Member wengi hawana hela ila wanajiita Great Thinkers, Kivipi?

Umeongea kweli tupu mkuu,,, Kuna mtu anauza kiwanja nmemuambia humu hupati kitu kabaki kukataa ..nikabaki kucheka tu ..
 
Umeongea kweli tupu mkuu,,, Kuna mtu anauza kiwanja nmemuambia humu hupati kitu kabaki kukataa ..nikabaki kucheka tu ..
Apeleke insta afanye sponsord ad atauza chap snaa
 
Hivi mkuu wew unajua namna ya kupata wateja kupitia njia hizo ulizotaja...hatuwez fanya biashara nikakupa kamishen yako unitangizie product flan ikiuzwa nikupe kamishen
 
Hivi mkuu wew unajua namna ya kupata wateja kupitia njia hizo ulizotaja...hatuwez fanya biashara nikakupa kamishen yako unitangizie product flan ikiuzwa nikupe kamishen
Lete hyo kazi nikutangazie humu waganga ni wengi sana
 
We angalia majaribio ya kutaka kufanya biashara humu yanavyoishia njiani. Watu wote waliofungua nyuzi za kuuza bidhaa zao wanakaa hata miezi miwili hawajapost bidhaa. Wengine nyuz hizo wamesusa kabisaaa na wao ndo waliozifungua. Kwa biashara bora FB
 
Humu Jf tumejaa majobless ambao tupo fake fake fake. Kila mtu anajikuta ana hela na kazi nzuri, gari kali ila kwa ground hakuna kitu. Ukitaka kupoteza muda njoo JF ila ukiwa serious na biashara nenda mitandao mingine ya kijamii.

NB: JF tumejaa watu fake na waongo waongo tunaoishi kwenye maisha ya kufikirika.
 
Huku wamejaa wajuaji, jobless na machawa ya kufukuzia buku 7. Hum Sina hakika kwa Hawa wote wanaojazana kwenye nyuzi Sina hakika yupo mwenyewe walau mil 50 saving kwa account
Acha zako basi mkuu 🀣
 
True
 
UMENISAIDIA KUSEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…