Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

ahhhha hahhah hahhha wapi huko mkuu aahhha

Kuna kijiwe cha kahawa nachezaga draft, sasa kuna jamaa ni member JF kila akiwepo lazima atupe yaliyojiri, sasa mimi nakaushaga, sitaki ajue kama na mimi ni member.

Jamaa anampenda Magufuli kinoma, kwa hiyo ile issue ya ngoma za Bujumbura kachukua kama ilivyo.
 
ahhhaha hahhahah
 
There are people who will come into your life and make you live a little bit crazier, laugh a little louder, and smile a little wider. You are that person in mine. Thank you for making my life so much happier. I real appreciate you so much my friend, Forever and always[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mmh, kazi ipo kwenye hii thread.

Ntarudia kupitia mistari kadhaa baadae jioni, saa hizi sitaelewa.
 
Asante sana. Na wewe unajua kuchafua hali ya hewa. Shuzi moja tuu jf inasimama.
Sijui unavutaga nini.

Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna bwanaa!!siku moja moja stress zikizidi unakiamshaaaa!!!tuu!ila mmekua thatha hivi!ukijaga unaharibu na wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…