Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
ahhhha hahhah hahhha wapi huko mkuu aahhha
Kuna kijiwe cha kahawa nachezaga draft, sasa kuna jamaa ni member JF kila akiwepo lazima atupe yaliyojiri, sasa mimi nakaushaga, sitaki ajue kama na mimi ni member.
Jamaa anampenda Magufuli kinoma, kwa hiyo ile issue ya ngoma za Bujumbura kachukua kama ilivyo.