Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

espy akiandika mada huwa nakaa pembeni kisha nasoma tu
sitaki kuchangia maana nitahamisha mada
huu ni upendo wa ajabu

sijawahi kupenda hivi
ukiona nimempenda mtu upendo wazaidi ya espy naombeni mniue

Chautamu wangu peke yangu, nakupenda zaidi ya sana mume wangu.
 
Kama nakuona vile!!
 
Ilikuwaje mpaka sijaiona hii!!

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…