Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Waoh!!!! Asante sana
#GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kulalamika kila uzi hapa

Yan mim sijui nna dam ya bundi kulalek......

Ebu fanya edit kwa post yako bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
tena naomba nikupe appreciation kwenye comment yako peke yako

nakukubali kinyama bosi

ila sijajua dawa ya kuondoa huu mkosi ulionao hata maji ya bahari naona yatadunda 😀😀😀

i appreciate braza
 
Mm nawakubali wana jf wote jamani mbarikiwe sana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] bila kusahau members wa makapuku wenzangu

Mbebez wangu Wick nakusahau vipi jamani sema upo hapo kwa wana jf wote mbebez mwenye maakili makubwa nakupenda mm [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kama kawaida yangu, kazi na dawa
 
Heaven sent hekma zake

Nifah she is my girl

Dinazarde my binamu toka enzii

Shunie my friend nje ndani
Mzigua nampenda she is beuty with brain
Sky eclat nampenda,nalendwa pia!hawa wamama acha tu


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] si unajua vile ninavyokukubali na kukupenda
 
Marahaba [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] mzima wewe
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…