Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Wow!! Mekua number one kwenye list ako honey


Thank you laazizi, nikianza kusema navutiwa na kipi kwako nitaandika pages na nisimaliza mambo yote yanayonipendeza kwako

Kikubwa,nakushukuru kwa muda wako, uaminifu wako na upendo wako kwa unayonifanyia, unanifanya nijione complete, Archduke nakupenda sanaa
 
Kila siku nawaandika leo ngoja niwe tofauti NAWAKUBALI WOTE MNAOPENDA COMMENTS ZANGU NA KUNIRUSHIA MUAMALA IMEBIDI NIWE NA NO SPECIAL KWA AJILI HIYO, nakukubali wewe uliyenipa bonge la deal humu yaani navimba balaa aaa mnanifanya nkiandika comments niwe natumia hata kaubongo kiduchu.
Namkubali baba la baba kwa kunifanyia bonge la party nyota 5 hotel.

Mbarikiwe
 
My dada,

Najiona fahari kwa hiki ninachokisoma hapa

Asante jamani nakupenda sana sana sana
 
tupendane mpenzi

sisemi sana
 
Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,

Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza

Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu

Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana

SteveMollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho

Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo

mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah

Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu

Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu

Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,

sumbai yo the best!!


Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
 
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…