Babu shikamoo nakuja na mm nitakutaja nikifikaHaka kathread kamekaa kimbeambea ndo maana sijatajwa....
Ngoja niendelee kupiga ugimbi huku kaunta ya juu...
uje kuzima taa huku halafu ntakuambia, uje basi kuleNatakiwa kujibu nn beb
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Mungu azidi kututunza siku hizi umezeeka nakupenda mmHuyu joka jeusi kwa kuvunja tuu mbavu zangu.
Nyani Ngabu nikisoma comment zake huwa nafurahi sana na kingereza chake sijui cha kiyahudi kile kigumu sana.
cute b na sumbai my best couple na hii ya mahondaw na smart
Wambea wenzangu sasa wotee mliostaafu na mnaoendelea kulisongesha,
rubii
Maserati
Shunie
Raynavero
Mama Sabrina
@demmis
Na wengine wengi.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Mpaka ufike kileleni si ntakuwa nshachoka?Babu shikamoo nakuja na mm nitakutaja nikifika
Hata email
umepewa ruhusa?? mbona unacheka??
Umenipa idea. Wacha nifungue line ya muamala na mimi.Kila siku nawaandika leo ngoja niwe tofauti NAWAKUBALI WOTE MNAOPENDA COMMENTS ZANGU NA KUNIRUSHIA MUAMALA IMEBIDI NIWE NA NO SPECIAL KWA AJILI HIYO, nakukubali wewe uliyenipa bonge la deal humu yaani navimba balaa aaa mnanifanya nkiandika comments niwe natumia hata kaubongo kiduchu.
Namkubali baba la baba kwa kunifanyia bonge la party nyota 5 hotel.
Mbarikiwe
we are in love babe
Mpaka ufike kileleni si ntakuwa nshachoka?
Sijazeeka . si unajua Mimi ni wa matukio MABWAKU BWAKU tuu.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Mungu azidi kututunza siku hizi umezeeka nakupenda mm
Lol. Anii tu ani ndo nini mkuu?? Nakukubali piaaDa vinci, kwa nondo anazoshushaga kule jamii intelijensi
Nahuja kwa kuwa anawajali vibenteni
mzigua kwa sababu tu ani tu
Demiss na wengine wengi tyuu nkisema niwataje ntajaza servers za jf
Ndo ukome kunisahau....Khaaa
Yamekuwa hayo babu
Hao ni ke tupu wanaume hutokosekanaNimesikitika sipo kwenye list yako.... hahaha kidding bwana!!
Sijazeeka . si unajua Mimi ni wa matukio MABWAKU BWAKU tuu.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Babu jamani nakupenda mmNdo ukome kunisahau....
Sana tu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] si unajua vile ninavyokukubali na kukupenda
πππππππ
Ndugu yangu uliye ji list ID zako zoote hapo nakukubali sana.