stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,750
Jf ni a community ambayo ina mchanganyiko wa watu mbalimbali, wengine wanaweza wakakukasirisha na wengine wakakufurahisha, katika kujumuika na watu huku. Mtu unatokea kuvutiwa na watu mbalimbali, mwingine unakuta unapenda ucheshi wake mwengine jinsi anavoshauri watu, mwingine upole wake, mwingine ukarimu/friendliness wake, mwingine ongea/swaga zake, mwingine unakuta it's something as simple as an avatar n.k
So this thread ni kwaajili ya kuwa-apreciate wanajf mbalimbali, kwakuwaambia ni nini umekifurahia toka kwao. Don't forget to tag whomever utakaemu-appreciate!
So this thread ni kwaajili ya kuwa-apreciate wanajf mbalimbali, kwakuwaambia ni nini umekifurahia toka kwao. Don't forget to tag whomever utakaemu-appreciate!