Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

-nikianza na raisi asiye na ukomo uraisi wake anaujua mwenyewe the chimney ngabu Nyani Ngabu

- dada angu najua kuwa unajua nakukubali Mama Sabrina

-mkuu Mzigua90 heshima kwako

- Mwifwa respect kwako mkuu

- theriogenology heshima yako popote ulipo

- Demiss respect hako ka avatar naomba usibadilishe 😂😂

Wick

Numbisa shafih dauda wangu huyu
 
Wale wa darajani, wale wa OT , wale wa Majogoo na arsenal fans. (Tusichekane lakini tutainuka tuu[emoji13][emoji13]) And My special appreciation goes to sumbai [emoji8][emoji8][emoji8]
Don Clericuzio boss mwenyewe mwenye wadhifa.
4G LTE ooh sijui nisimeje. Acha muda uongee.
espy Dada wa mie.
Madame S [emoji177]
everlenk I miss you mom..
sister jamani ujeee
Bailly5 my brother from another mother,
Bila kumsahau jirani yangu SHAMMA.
Asanten sana kwa support zenu za mawazo na wadhifa. Nawapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nimuulize Wick si utaniruhusu Darmian anichukue kunipeleka nje
Wiki nzima hupokei simu zangu, nikija huku nakutana na mada za kugaiwa, kutolewa out!..
Hebu nambie ulifumania nini last tym kwenye simu yangu, usije kuwa uliona picha za mtoto wa mjomba kaka wa shemeji muoa dada angu ujue!..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo wale wadada wote ndugu zako

Back
Top Bottom