Jf members mpunguze uongo kidogo

Jf members mpunguze uongo kidogo

Humu show off nyingi sana,hata hivyo usiyachukulie ya humu serious sana,yatakuumiza kichwa!
 
Tunajifariji bwana wewe, mtu unawaza unasukuma mgari una CC6000, tunajifurahisha ndugu. Tuache tuu tudanganye maisha magumu.
 
Huu uzi nimekuwa naupita tu bila kusoma content iliyomo ndani, hakika umejua kunifurahisha kwa kweli[emoji23][emoji23] Ndio maana Maxence Melo anashauri uwe na walau IDs mbili, moja ya kimasikini na uuvae umaskini, halafu nyingine uwe tajiri tena zaidi ya Mo Dewj na uuvae utajiri (Jokes) [emoji23][emoji23]
[emoji23] tajiri hewa[emoji23][emoji23]

waliosoma udsm ndo usiseme! Yaani veta hazisemwi[emoji119]
 
Wale wa drs la 7 na form failure hawajisemi!
wote wana PhD na digrees za kufa mtu
[emoji23][emoji23]Ndo hivyo mkuu, ukishaingia kwenya jamii ya wana jf, kitu cha kwanza ni kuvaa uhusika wa utajiri, bila hivyo utajikuta unapuuzwa na kudharauliwa mpaka ushangae. Si unaona jinsi ambavyo Lumumbashi alivyo na pesa kiasi cha kumfufua mkewe na kufunga nae ndoa ya pili[emoji23][emoji23]
 
Huyo mwamba ni hatari na nusu!
 
Back
Top Bottom