Jf members mpunguze uongo kidogo

Humu show off nyingi sana,hata hivyo usiyachukulie ya humu serious sana,yatakuumiza kichwa!
 
Tunajifariji bwana wewe, mtu unawaza unasukuma mgari una CC6000, tunajifurahisha ndugu. Tuache tuu tudanganye maisha magumu.
 
[emoji23] tajiri hewa[emoji23][emoji23]

waliosoma udsm ndo usiseme! Yaani veta hazisemwi[emoji119]
 
Wale wa drs la 7 na form failure hawajisemi!
wote wana PhD na digrees za kufa mtu
[emoji23][emoji23]Ndo hivyo mkuu, ukishaingia kwenya jamii ya wana jf, kitu cha kwanza ni kuvaa uhusika wa utajiri, bila hivyo utajikuta unapuuzwa na kudharauliwa mpaka ushangae. Si unaona jinsi ambavyo Lumumbashi alivyo na pesa kiasi cha kumfufua mkewe na kufunga nae ndoa ya pili[emoji23][emoji23]
 
Huyo mwamba ni hatari na nusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…