Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Hahahaha huyo ni kenge wa bluu kabisaHeheheheheeee hata sisi hatutaki kufahamiana na wewe kenge mwenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha huyo ni kenge wa bluu kabisaHeheheheheeee hata sisi hatutaki kufahamiana na wewe kenge mwenzetu.
Uzunguni hakuna vishombo...hakuna swaga...hakuna panya road...hakuna vigodoro tukafanye mini?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa ni mda wa kuhamia uzunguzi Bitoz. Mwambie mshana jr na rubii
Bora tubaki uswazi tu maana full shangwe hukuUzunguni hakuna vishombo...hakuna swaga...hakuna panya road...hakuna vigodoro tukafanye mini?
We born Uswaz & we will die Uswaz
acha hizo.Kama nitataka kufahamiana na yeyote humu JF basi labda wale wa jukwaa na kimataifa, jukwaa la wakenya na jukwaa la great thinkers.. Ila kenge yeyote wa haya majukwaa ya chini sitaki mazoea nao.. Kenge wakubwa
Hihihihihiii kumbe ushanitafuta na vi ID vyako vingine eeh?Hehehehehehe ila wewe nitakutafuta tu... Endelea kunikimbia kimbia
Miguu ya kuku vigodoro vya kufa mtu sio?Bora tubaki uswazi tu maana full shangwe huku
Jero lako tu unakula kuku chachandu kibaoMiguu ya kuku vigodoro vya kufa mtu sio?
Kumbe kuna mijitu kazi kuwa pm hahaha duuh .. Ukiongia mkenge unaalikwa sehemu duh. MakubwaHihihihihiii kumbe ushanitafuta na vi ID vyako vingine eeh?
Pole sana,mimi kuniona labda kuwe na issue ya maana sanaaaa.....
Otherwise, enjoy na urafiki wetu huu uliotukuka wa JF.
Hivyo ndo vishombo .....Jero lako tu unakula kuku chachandu kibao
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hatari sanaHivyo ndo vishombo .....
Kenge anakimbia mvua anakimbilia majini huyo...acha hizo.
![]()
Mkuu hii JF ni zaidi ya uijuavyo,namshukuru Mungu niko makini na nitaendelea kuwa hivyo.Kumbe kuna mijitu kazi kuwa pm hahaha duuh .. Ukiongia mkenge unaalikwa sehemu duh. Makubwa
Vi ID gani tena unanichafulia jina ujue... Alafu mikenge ishapanic hapa hahahaHihihihihiii kumbe ushanitafuta na vi ID vyako vingine eeh?
Pole sana,mimi kuniona labda kuwe na issue ya maana sanaaaa.....
Otherwise, enjoy na urafiki wetu huu uliotukuka wa JF.
Hahahahaaa hebu tuliache hili.Vi ID gani tena unanichafulia jina ujue... Alafu mikenge ishapanic hapa hahaha
[emoji15] mtoto wa uswaz nizembee hivihivi tu........Sitaki,kumbe wewe ni mzembe hivi???
Le Mazafantazzz..Hahahahaaaaaaa le mbebez you know watu wanamuonea wivu you know anapiga hela mjini you know hahahaaa Le akili kubwaz you know