JF members tunafahamiana?

JF members tunafahamiana?

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa ni mda wa kuhamia uzunguzi Bitoz. Mwambie mshana jr na rubii
Uzunguni hakuna vishombo...hakuna swaga...hakuna panya road...hakuna vigodoro tukafanye mini?
We born Uswaz & we will die Uswaz
 
Uzunguni hakuna vishombo...hakuna swaga...hakuna panya road...hakuna vigodoro tukafanye mini?
We born Uswaz & we will die Uswaz
Bora tubaki uswazi tu maana full shangwe huku
 
Kama nitataka kufahamiana na yeyote humu JF basi labda wale wa jukwaa na kimataifa, jukwaa la wakenya na jukwaa la great thinkers.. Ila kenge yeyote wa haya majukwaa ya chini sitaki mazoea nao.. Kenge wakubwa
acha hizo.
Monitor_lizard_2.jpg
 
Hehehehehehe ila wewe nitakutafuta tu... Endelea kunikimbia kimbia
Hihihihihiii kumbe ushanitafuta na vi ID vyako vingine eeh?
Pole sana,mimi kuniona labda kuwe na issue ya maana sanaaaa.....
Otherwise, enjoy na urafiki wetu huu uliotukuka wa JF.
 
Hihihihihiii kumbe ushanitafuta na vi ID vyako vingine eeh?
Pole sana,mimi kuniona labda kuwe na issue ya maana sanaaaa.....
Otherwise, enjoy na urafiki wetu huu uliotukuka wa JF.
Kumbe kuna mijitu kazi kuwa pm hahaha duuh .. Ukiongia mkenge unaalikwa sehemu duh. Makubwa
 
Kumbe kuna mijitu kazi kuwa pm hahaha duuh .. Ukiongia mkenge unaalikwa sehemu duh. Makubwa
Mkuu hii JF ni zaidi ya uijuavyo,namshukuru Mungu niko makini na nitaendelea kuwa hivyo.
Tofauti na hapo ni kujitafutia balaa na zaidi kujikosesha amani.
 
Hihihihihiii kumbe ushanitafuta na vi ID vyako vingine eeh?
Pole sana,mimi kuniona labda kuwe na issue ya maana sanaaaa.....
Otherwise, enjoy na urafiki wetu huu uliotukuka wa JF.
Vi ID gani tena unanichafulia jina ujue... Alafu mikenge ishapanic hapa hahaha
 
Kufahamiana humu ni ngumu wengine wametumia majina ya mifugo yao ya huko kijijini kwao .
 
Back
Top Bottom