JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Jamaa hata ukisema juzi nimepita Tandale nikakuta mbuzi wanapigana sekunde chache anakuletea picha ya tukio 🤣🤣🤣

Yaani nimechekaaa baba Bataringaya eehehehehehee....

Nafikiri alikuwa na maono ya AI sababu alikuwa anatoa taswira ya kile kinachoandikwa hata pale mtu unasema hii hawezi let picha, he was unstoppable..... try him 😆😆😆😆😆.

Dakika za mwisho kabla hajapotea alikuwa ananichokoza sana kila ninapokomenti kwenye nyuzi na lugha ilikuwa ya kimombo.... aahahahahaa

Natumaini huko aliko yuko sawa.

🤔🤔🤔🤔saa nyingine uchokozi usio na madhara huacha alama 😊.
 
Hajui siju hizi unashinda kule kumshauri INSIDER kuhusu Mama J.

🤣🤣🤣 Kule kumekucha..
Tumemalizana huko kwa sasa hadi aandike, Baby no. 3 Amen atakuwa kashakuja. Insider man anaruka maswali hata kama anasubiria season 3. Nasoma tu siku hizi, insiderman kani mind na M wake 🤮. 😅😅😅 Naendelea kuburudika JF kila panaponivutia.
 
Back
Top Bottom