Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wamemteka mashangaziMy wangu Tresor Mandala
Ha ha ha na ndugu yake The Stress ChallengerrKuna Jamaa flani hivi, alikua na shida ya network kichwani, somebody Maghayo popote alipo mungu amjaalie,
Hata akija ku comment hapa mpuuzieni sio yeye, ana maluelue...
Kwakweli sijamuona mudaMy wangu Tresor Mandala
Kuna hawaHebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
Au kuna mtu kamficha my wangu Tresor Mandala ?ila dogo na wewe umekuwa adimuKwakweli sijamuona muda
Kuna hawa
MwanaDiwani
cocochanel
@biayetu
Laki Si Pesa
Hao jamaa, "sijakutana" nao siku nyingi!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Maisha dada yananipeleka puta ratiba zimekuwa ngumu mahiAu kuna mtu kamficha my wangu Tresor Mandala ?ila dogo na wewe umekuwa adimu
Lara1 alibadili I'd na kua warumi,Lara 1 na story zake kali zile za kishua na uswazi