JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Jamaa hata ukisema juzi nimepita Tandale nikakuta mbuzi wanapigana sekunde chache anakuletea picha ya tukio ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yaani nimechekaaa baba Bataringaya eehehehehehee....

Nafikiri alikuwa na maono ya AI sababu alikuwa anatoa taswira ya kile kinachoandikwa hata pale mtu unasema hii hawezi let picha, he was unstoppable..... try him ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.

Dakika za mwisho kabla hajapotea alikuwa ananichokoza sana kila ninapokomenti kwenye nyuzi na lugha ilikuwa ya kimombo.... aahahahahaa

Natumaini huko aliko yuko sawa.

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”saa nyingine uchokozi usio na madhara huacha alama ๐Ÿ˜Š.
 
Hajui siju hizi unashinda kule kumshauri INSIDER kuhusu Mama J.

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kule kumekucha..
Tumemalizana huko kwa sasa hadi aandike, Baby no. 3 Amen atakuwa kashakuja. Insider man anaruka maswali hata kama anasubiria season 3. Nasoma tu siku hizi, insiderman kani mind na M wake ๐Ÿคฎ. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Naendelea kuburudika JF kila panaponivutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ