ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mtawa ni yule ambae anajifungia ndani au ambaye hajawahi kufanya mchezo m'baya?Eti nasikia umekuwa mtawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtawa ni yule ambae anajifungia ndani au ambaye hajawahi kufanya mchezo m'baya?Eti nasikia umekuwa mtawa.
Mtawa ni yule ambae anajifungia ndani au ambaye hajawahi kufanya mchezo m'baya?
Basi mimi ni mtawaKwakuwa siku hizi vijana wasio wazinzi na waasherati ni wachache mno mtawa ni yule anajifungia ndani
Kila la kheri mtawa 🖐🏿Basi mimi ni mtawa
Anatawa?Eti nasikia umekuwa mtawa.
Mkuu leo ndio naingia humu after years of absences.
Chai 2023 ulikuwepoMkuu leo ndio naingia humu after years of absences.
Karibu tena mkuu. Hope kila kitu kipo sawia.Mkuu leo ndio naingia humu after years of absences.
Usikufe babe!
Nimefurahi sana kukuona Humble...Mkuu leo ndio naingia humu after years of absences.
Asanteee!Karibu tena
Mbona Mimi sipo kwenye orodha?Hebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
Hujulikani. Umaarufu wako mdogoMbona Mimi sipo kwenye orodha?
Mkuu leo ndio naingia humu after years of absences.