Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Hata hivyo jf ya sasa, Haina mzuka kabisa... Utoto ni mwingi sana..Na mikomenti yake ya kijinga awe member mwenye post nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo jf ya sasa, Haina mzuka kabisa... Utoto ni mwingi sana..Na mikomenti yake ya kijinga awe member mwenye post nyingi.
Nipo Mkuu, majukumu tu, ila nitarejea
🤣🤣Kuna id moja imelike comment yangu afu ni RIp nimeshutuka sana
The Mongolian SavageKuna Jamaa flani hivi, alikua na shida ya network kichwani, somebody Maghayo popote alipo mungu amjaalie,
Hata akija ku comment hapa mpuuzieni sio yeye, ana maluelue...
Hahaha i new itMy wangu Tresor Mandala
Mbona unanionea wivu sana wewe😂?ananifuatilia kishenzy🤣🤣🤣🤣dah!Hahaha i new it
Nimefurahi kukuona, nani alikupoteza?Nipo dada angu☺️
Majukumu, kazi ni nyingi hadi muda wa kushika simu nakosaNimefurahi kukuona, nani alikupoteza?
Bora umekuja nilikumisi sana😊Majukumu, kazi ni nyingi hadi muda wa kushika simu nakosa
Naunga mkono hoja,kawaida maisha ni mafupi,mbali na kuwa yana mapito mengi naomba utaratibu wa kujulishana juu ya member tunao wamisi tujukishane hata kama ni kupotea baada ya kutekwa,matatizo ya kiafya,kijamii,vifo ama majukumu tujuzane ili angalao kwa imani zetu tuweze kuwaombea,kuwasaidia ama japokufarijiana.Kwani hii Dunia ni ya Mungu na hakuna mwenye umiliki.Hebu ongeza wengine
- Masanilo a.k.a Rev. Masanilo
- BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema
- klorokwini
- kwinini
- Numbisa
- Nazjaz mfuga majoka
- Jemima Mrembo
- Sumbalawinyo
- @kidukulilo
- Bill Lugano a.k.a tajiri
- litutumbwe
AsanteBora umekuja nilikumisi sana😊
Eti nasikia umekuwa mtawa.Nipo dada angu☺️