JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

Nimekumiss pia Kasinde swaiba mvuta msuba mwenzangu...

Donge nono inabidi nikapewe kwenye viunga vya Ndoto polepole aisee, msuba ukiwa unateketea taratibu...

Posta pashavurugwa, zile hekaheka hakuna tena...


Hiyo imeisha mvuta msuba mwenzangu aka Msafiri....

Ndoto polepole ndo mpango mzima donge nono kulisandakalawe halafu tunaenda poza moyo Mabwe Pande acha tujiteke tuu

Tutawashiana msuba hadi uwake moto bin chechee...😁😁😁😁.

Hivi ujue nikisomqga maandishi yako tuu tayari msuba unapanda kichwani...😅😅😅.

Wakati ndo huu uliokubalika, hima twende 😉.

Kasinde Matata.
 
Mie nipo sema toka jukwaa pendwa livunjwe nimekuwa kama nimekatwa mikono
 
Back
Top Bottom